“Kufanikiwa katika maisha lazima usimamiwe na nguvu za nuru au nguvu za giza. Kama ni nuru lazima ubobee katika nuru. Kama ni giza lazima ubobee katika giza.” LifeSuccessMaishaDark ForcesKufanikiwaNguvu Za GizaKubobeaLight ForcesNguvu Za Nuru Author:Enock Maregesi
“Wengine hatuishi kama wafalme kwa sababu ya nguvu za giza – zilizopo kati ya Mungu na wanadamu. Nyota zetu zimefunikwa. Una kila kitu unachotafuta, ndani ya moyo wako. Usitafute furaha, utajiri au amani nje ya moyo wako. Tafuta furaha, utajiri au amani ndani ya moyo wako.” HumansHeartGodHappinessPeaceWealthKingsStarMunguAmaniMoyoUtajiriFurahaWanadamuForces Of DarknessNyotaNguvu Za GizaWafalme Author:Enock Maregesi