“Kufanikiwa katika maisha lazima usimamiwe na nguvu za nuru au nguvu za giza. Kama ni nuru lazima ubobee katika nuru. Kama ni giza lazima ubobee katika giza.” LifeSuccessMaishaDark ForcesKufanikiwaNguvu Za GizaKubobeaLight ForcesNguvu Za Nuru Author:Enock Maregesi
“Ukitaka kufanikiwa katika maisha angalia watu wanataka nini halafu wape. Kama wanataka burudani wape. Kama wanataka elimu wape. Kama wanataka bidhaa wape. Kama wanataka huduma wape. Wape kwa msaada wa wataalamu.” PeopleSuccessFunEducationSocietyExpertsServiceGoodsWatuMafanikioElimuJamiiTo Be SuccessfulKufanikiwaWataalamuHudumaBidhaaBurudani Author:Enock Maregesi
“Wakati mwingine tukitaka kufanikiwa lazima tujifunze kutunza siri.” SuccessSecretsMustMafanikioSiriTo Be SuccessfulKufanikiwaLazima Author:Enock Maregesi
“Ukitaka kufanikiwa wasaidie wengine kufanikiwa.” OthersWengineTo Be SuccessfulKufanikiwa Author:Enock Maregesi