“Msamaha ni uamuzi wa makusudi wa kuachilia hisia za chuki au kisasi juu ya mtu au kikundi cha watu ambaye amekuumiza au ambacho kimekuumiza, bila kujali kama anastahili au kinastahili msamaha wako. Wataalamu wanaosoma au kufundisha msamaha huweka bayana ya kuwa, unaposamehe, hutakiwi kusitiri au kukana uzito wa kosa ulilofanyiwa. Msamaha haumaanishi kusahau wala haumaanishi kupuuza, au kujisingizia, makosa ambayo mtu amekufanyia au kikundi cha watu kimekufanyia. Ijapokuwa msamaha unaweza kusaidia kujenga uhusiano ulioharibika, haukulazimishi kupatana na mtu aliyekukosea au kumfanya asiwajibike kisheria kwa makosa aliyokufanyia. Badala yake, msamaha humletea yule anayesamehe amani ya moyo; na humpa uhuru kutokana na hasira aliyokuwa nayo, juu ya yule aliyemkosea.” FreedomForgivenessAngerHarmonyRevengeExpertsPersonLegalMtuMsamahaHasiraUhuruMakosaOffencesWataalamuKisasiAmani Ya MoyoDeliberate DecisionMaulamaaThey DeserveTo ForgetA Group Of PeopleAnastahiliFeelings Of HatredHisia Za ChukiHutakiwi KusitiriIt DeservesKikundi Cha WatuKinastahiliKisheriaKujenga Uhusiano UlioharibikaKujisingiziaKukana Uzito Wa KosaKupatanaKupuuzaKusahauPeace Of The HeartTo Build A Broken RelationshipTo IgnoreTo Slander OneselfUamuzi Wa MakusudiUnaposameheWhen You ForgiveYou Should Not Camouflage Author:Enock Maregesi
“Ukitaka kufanikiwa katika maisha angalia watu wanataka nini halafu wape. Kama wanataka burudani wape. Kama wanataka elimu wape. Kama wanataka bidhaa wape. Kama wanataka huduma wape. Wape kwa msaada wa wataalamu.” PeopleSuccessFunEducationSocietyExpertsServiceGoodsWatuMafanikioElimuJamiiTo Be SuccessfulKufanikiwaWataalamuHudumaBidhaaBurudani Author:Enock Maregesi
“Wataalamu wanaosoma au kufundisha msamaha huweka wazi kwamba unapomsamehe mtu, huwezi kupotezea au kukana uzito wa kosa alilokufanyia. Kusamehe ni hali fulani inayotoka ndani ya moyo wa mtu, ikiwa na hali ya uhuru wa hiari wa mtu mwenyewe kuamua kuachilia kile kinachomuumiza, pasipo kuwepo masharti ya aina yoyote ile kwa mtu aliyemuumiza.” HeartFreedomClearConditionsForgivenessExpertsPersonFreedom Of ChoiceMtuMoyoMsamahaUhuruMashartiWataalamuTo ForgiveKusameheMaulamaaUhuru Wa HiariUnapomsamehe MtuWaziWhen You Forgive Someone Author:Enock Maregesi
“Afrika isomeshe watu wake, na itumie vizuri mapato yanayotokana na mauzo ya rasilimali zake kwa faida ya jumla ya wananchi wa nchi zake, kusudi baadaye wawe wataalamu wa rasilimali za nchi zao wenyewe, kuepukana na utumwa wa rasilimali. Rasilimali za Afrika zina miiko na masharti yake.” PeopleConditionsCitizensResourcesSlaveryExpertsAfricaSalesBenefitWatuCountriesAfrikaTaboosNchiMashartiFaidaRevenuesWataalamuMapatoWananchiRasilimaliUtumwaMauzoMiikoResource SlaveryUtumwa Wa Rasilimali Author:Enock Maregesi
“Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani.” DreamsTalentGoalsExpertsPotentialHelpSkillFull PotentialKipajiWataalamuMalengoMsaadaUjuziKikamilifu Author:Enock Maregesi