“Afrika isomeshe watu wake, na itumie vizuri mapato yanayotokana na mauzo ya rasilimali zake kwa faida ya jumla ya wananchi wa nchi zake, kusudi baadaye wawe wataalamu wa rasilimali za nchi zao wenyewe, kuepukana na utumwa wa rasilimali. Rasilimali za Afrika zina miiko na masharti yake.” PeopleConditionsCitizensResourcesSlaveryExpertsAfricaSalesBenefitWatuCountriesAfrikaTaboosNchiMashartiFaidaRevenuesWataalamuMapatoWananchiRasilimaliUtumwaMauzoMiikoResource SlaveryUtumwa Wa Rasilimali Author:Enock Maregesi
“Bara la Afrika ni tajiri kwa rasilimali kuliko mabara yote duniani. Lakini ni maskini kuliko mabara yote. Cha muhimu si kuwa na rasilimali ardhini. Cha muhimu ni kuwa na rasilimali sokoni.” ResourcesMarketGroundAfrican ContinentRasilimaliArdhiniBara La AfrikaSokoni Author:Enock Maregesi