“Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza kabisa jitambue: wewe ni nani na unafanya nini hapa duniani. Halafu, kabla ya kusema jambo lolote kwa mtu yoyote fikiria kwanza maana au madhara ya hilo unalotaka kulisema. Kisha jifunze tamaduni mbalimbali na watendee wengine kama vile unavyotaka kutendewa au kama vile wanavyotaka kutendewa. Jifunze kusamehe na kusuluhisha migogoro katika jamii unamoishi huku ukidumisha heshima na utu kwa binadamu wenzako. Jijengee imani kwa watu, punguza upendeleo, fanya kazi kama timu kwani hakuna ‘mimi’ katika umoja ila kuna ‘sisi’, na jitahidi kwa kadiri ya uwezo wako WOTE kwa manufaa ya wote. Kuwa kiongozi katika kila jambo unalofanya na katika kila kitu unachofanya. Jitahidi kufanya jambo au kitu kwa usahihi kwa kadiri utakavyoweza.” FaithHumanityLeaderTeamSocietyHumanRespectUnityKnow YourselfAccuracyIWeAllConflictsCulturesMimiImaniBinadamuHeshimaSisiKiongoziJamiiFavouritismUtuUmojaWoteMigogoroTimuUpendeleoJitambueKuheshimiwaTamaduniTo Be RespectedUsahihi Author:Enock Maregesi
“Ukitaka kufanikiwa katika maisha angalia watu wanataka nini halafu wape. Kama wanataka burudani wape. Kama wanataka elimu wape. Kama wanataka bidhaa wape. Kama wanataka huduma wape. Wape kwa msaada wa wataalamu.” PeopleSuccessFunEducationSocietyExpertsServiceGoodsWatuMafanikioElimuJamiiTo Be SuccessfulKufanikiwaWataalamuHudumaBidhaaBurudani Author:Enock Maregesi
“Kitabu cha 'Kolonia Santita' ni kitabu cha wasomi na wasiokuwa wasomi, watu wa mijini na watu wa vijijini, watu wazima, vijana na watoto. Hadhira ya kitabu hiki ni jamii nzima ya Tanzania.” PeopleChildrenBookAudienceSocietyTownsEducatedEldersTeenagersUneducatedWatuTanzaniaKolonia SantitaWatotoVillagesJamiiKitabuVijanaHadhiraMijiniVijijiniWasiokuwa WasomiWasomiWazee Author:Enock Maregesi
“Ili kupambana na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya katika jamii ya Tanzania, ni muhimu kutoa elimu kwa Watanzania juu ya madhara yanayoambatana na matumizi ya madawa hayo. Tusipambane na madawa ya kulevya peke yake. Tupambane na elimu ya madawa ya kulevya pia.” UseFightingEducationSocietyAbuseDrugsNarcoticsRisksTanzaniaIllegal DrugsElimuJamiiMadawa Ya KulevyaMadharaMadawaMatumiziKupambanaTanzaniansWatanzaniaJamii Ya TanzaniaMadawa Ya Kutia UsingiziMatumizi MabayaTanzanian Society Author:Enock Maregesi
“Kamera ina athari kubwa sana katika maisha yetu. Inaweza kuharibu taswira ya mtu mbele ya jamii, na inaweza kuharibu maisha ya mtu hali kadhalika. Wasanii wakubwa duniani hawatoki ndani bila ya kuwa nadhifu au bila ya kujipodoa. Kwa nini? Kwa sababu ya wasanii wao wa vipodozi. Wasanii wao wa vipodozi hawataki waajiri wao wawe na taswira mbaya mbele ya wateja wao ambayo ni jamii. Kuwa na taswira mbaya mbele ya jamii kunaweza kusababisha wao (wasanii wa vipodozi) pamoja na waajiri wao, wasiishi vizuri hapa duniani kama wanavyotaka. Kioo ni kitu au mtu. Kama huna uwezo wa kumiliki vipodozi, miliki kioo. Kama huna uwezo wa kumiliki kioo, miliki rafiki. Kioo (hasa kitu) hakina unafiki. Usitoke ndani bila kuridhika na taswira yako.” LifeSocietyEffectsSmartCustomersHypocrisyFriendPersonArtistsEmployersMirrorImageMaishaCameraMtuJamiiRafikiKameraTaswiraKiooWasaniiNadhifuUnafikiWaajiriAthariWateja Author:Enock Maregesi
“Watoto hawatakiwi kuchungwa kupita kiasi hasa katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa. Ukiwanyima watoto uhuru wa kuwa watoto leo watakuwa na uhuru wa kuwa watoto kesho. Uhuru utakaowanyima wakiwa wadogo watakuja kuutafuta baadaye wakiwa wakubwa. Wakiutafuta baadaye wakiwa wakubwa hawataeleweka vizuri katika jamii. Wape watoto uhuru wanaostahili kupata lakini si uhuru wa kila kitu.” WorldChildrenTodayFreedomSocietyYouthTomorrowProtectionEldersDuniaLeoWatotoUhuruJamiiOverprotectionKeshoUlinziDunia Imekata TamaaWorld Has Given UpWakubwaKuchungwaKuchungwa Kupita KiasiUlinzi Wa Kupita Kiasi Author:Enock Maregesi
“Katika maisha, kila mtu ni kiongozi na ni mfuasi pia kutegemeana na hali. Kiongozi hatakiwi kuwa na kiburi, wala hatakiwi kuwa na roho yenye kutakabari, roho ya jeuri na kuona wengine si kitu, kwa sababu kiburi na roho yenye kutakabari huleta maangamizi na maanguko makubwa katika jamii. Viongozi wa mataifa wana jukumu kubwa kwa sababu kama wataruhusu maadili yaanguke, nguvu zao zote za kijeshi na kiteknolojia hazitawasaidia. Sifa ya kwanza ya kiongozi ni kuwa na maadili mema.” LeaderSocietyConceitFollowerKiongoziJamiiKiburiMaadili MemaGood Moral ValuesMfuasi Author:Enock Maregesi
“Boresha maisha ya watu kwa kadiri utakavyoweza. Ukisaidia mtu 1 watahurumiwa watu 10. Ukisaidia watu 10 watahurumiwa watu 100. Ukisaidia watu 100 watahurumiwa watu 1000. Kila mmoja wetu akitambua wajibu wake katika jamii, Mungu atatuhurumia sisi wote. Maisha ya mtu mmoja yakiboreka, mmoja huyo ataboresha na ya wengine wengi. Hivyo, endelea kuogelea lakini usisahau kurudi nyuma katika jamii.” PeopleGodResponsibilitySocietyPersonMunguAllWatuMtuJamiiWoteWajibuBoresha Maisha Ya WatuImprove People S Lives Author:Enock Maregesi
“Unapofikia hatua ya kuwa na kila kitu katika maisha, unapokuwa umefanya kila kitu ulichotamani kufanya katika maisha, unakuwa na bahari nzima ndani ya tone ambalo ni wewe. Unaridhika. Wewe si tone tena ndani ya bahari, wewe ni bahari ndani ya tone. Kinachobaki baada ya hapo ni kusaidia jamii iliyosaidia kukulea ulipokuwa mdogo, kuacha alama katika dunia kabla na baada ya wewe kuondoka, bila kujali watu watasema nini juu ya maisha yako.” PeopleWorldSocietyOceanToneYouDuniaWatuDropWeweJamiiBahariBahari Ndani Ya ToneEverything In LifeKila Kitu Katika Maisha Author:Enock Maregesi
“Ukiwapa watu kile wanachokitaka wataendelea kukihitaji.” PeopleNeedsSocietyWatuJamiiMahitaji Author:Enock Maregesi