“Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. 2 + 2 = 5. Umoja una sisi (ubinadamu), si mimi (ubinafsi). Watu wanne wakifanya kazi kwa ushirikiano watakuwa na nguvu ya watu watano! Watakuwa na nguvu ya ziada kufanikisha malengo kama vile kuwa na uwezo wa kusaidia jamii kama timu au kama mtu binafsi, kujenga jengo la ofisi, kutengeneza ziada katika masuala ya uchumi wa kampuni au nchi au wa mtu binafsi, ushindi katika kitu chochote kile, na kadhalika. Mimi ni ubinafsi. Sisi ni ubinadamu. Ubinafsi ni uvivu. Ubinadamu ni uchapakazi.” CountryHumanityIndividualWorkCompanyEconomyTeamStrengthVictoryWeaknessCapacityUnityGoalsSeparationSelfishnessCooperationLazinessIWeIndustriousMimiKaziNguvuUwezoNchiSisiUbinafsiUmojaUvivuCommunity SupportMalengoUchapakaziUbinadamuUshindiNguvu Ya ZiadaTimuExtra StrengthFive PeopleFour PeopleUtenganoWatu WanneWatu WatanoBuild An Office BuildingKampuniKujenga Jengo La OfisiKusaidia JamiiKutengeneza ZiadaMtu BinafsiProducing ExtraUchumiUdhaifuUshirikiano Author:Enock Maregesi
“Saa nane za usiku timu nzima ya Vijana wa Tume ilirudi San Ángel katika helikopta ya DEA, tayari kwa safari ya Salina Cruz katika jimbo la Oaxaca. Kukamatwa kwa Gortari, Eduardo na Dongyang ulikuwa ushindi mkubwa wa kwanza wa Tume ya Dunia. Ushindi huo ukalipua wimbi la kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa, wa Kolonia Santita, dunia nzima.” JourneyTeamVictoryWaveSafariKolonia SantitaTume Ya DuniaHelicopterVijana Wa TumeDeaWorldwideOaxacaSalina CruzDunia NzimaUshindi2 AmEduardo Chapa De ChristopherGortari ManuelHelikoptaTimuLi DongyangDongyangEduardoGortariInternational CriminalsSaa 8 Za UsikuSan ÁNgelWahalifu Wa KimataifaWimbi Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita
“Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza kabisa jitambue: wewe ni nani na unafanya nini hapa duniani. Halafu, kabla ya kusema jambo lolote kwa mtu yoyote fikiria kwanza maana au madhara ya hilo unalotaka kulisema. Kisha jifunze tamaduni mbalimbali na watendee wengine kama vile unavyotaka kutendewa au kama vile wanavyotaka kutendewa. Jifunze kusamehe na kusuluhisha migogoro katika jamii unamoishi huku ukidumisha heshima na utu kwa binadamu wenzako. Jijengee imani kwa watu, punguza upendeleo, fanya kazi kama timu kwani hakuna ‘mimi’ katika umoja ila kuna ‘sisi’, na jitahidi kwa kadiri ya uwezo wako WOTE kwa manufaa ya wote. Kuwa kiongozi katika kila jambo unalofanya na katika kila kitu unachofanya. Jitahidi kufanya jambo au kitu kwa usahihi kwa kadiri utakavyoweza.” FaithHumanityLeaderTeamSocietyHumanRespectUnityKnow YourselfAccuracyIWeAllConflictsCulturesMimiImaniBinadamuHeshimaSisiKiongoziJamiiFavouritismUtuUmojaWoteMigogoroTimuUpendeleoJitambueKuheshimiwaTamaduniTo Be RespectedUsahihi Author:Enock Maregesi