“Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. 2 + 2 = 5. Umoja una sisi (ubinadamu), si mimi (ubinafsi). Watu wanne wakifanya kazi kwa ushirikiano watakuwa na nguvu ya watu watano! Watakuwa na nguvu ya ziada kufanikisha malengo kama vile kuwa na uwezo wa kusaidia jamii kama timu au kama mtu binafsi, kujenga jengo la ofisi, kutengeneza ziada katika masuala ya uchumi wa kampuni au nchi au wa mtu binafsi, ushindi katika kitu chochote kile, na kadhalika. Mimi ni ubinafsi. Sisi ni ubinadamu. Ubinafsi ni uvivu. Ubinadamu ni uchapakazi.” CountryHumanityIndividualWorkCompanyEconomyTeamStrengthVictoryWeaknessCapacityUnityGoalsSeparationSelfishnessCooperationLazinessIWeIndustriousMimiKaziNguvuUwezoNchiSisiUbinafsiUmojaUvivuCommunity SupportMalengoUchapakaziUbinadamuUshindiNguvu Ya ZiadaTimuExtra StrengthFive PeopleFour PeopleUtenganoWatu WanneWatu WatanoBuild An Office BuildingKampuniKujenga Jengo La OfisiKusaidia JamiiKutengeneza ZiadaMtu BinafsiProducing ExtraUchumiUdhaifuUshirikiano Author:Enock Maregesi
“Uko wapi ubinadamu wa watu?” PeopleHumanityPeaceCrueltyVitaWarsWatuAmaniUtuUbinadamuUnyama Author:Enock Maregesi
“Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Umoja una sisi (ubinadamu) si mimi (ubinafsi). Watu wanne wakifanya kazi kwa ushirikiano watakuwa na nguvu ya watu watano! Watakuwa na nguvu ya ziada kufanikisha malengo kama vile kuwa na uwezo wa kusaidia jamii kama timu moja au kama mtu binafsi, kujenga shule ya kijiji, kutengeneza ziada katika masuala ya uchumi wa nyumbani au wa kampuni au wa nchi au wa mtu binafsi, ushindi katika jambo lolote lile, na kadhalika. Mimi ni ubinafsi. Sisi ni ubinadamu. Ubinafsi ni uvivu. Ubinadamu ni uchapakazi.” HumanityUnitySelfishnessLazinessWeSisiUbinafsiUmojaUvivuUbinadamu Author:Enock Maregesi
“Ubinadamu una kila kitu isipokuwa upendo miongoni mwa watu.” PeopleLoveHumanityWatuUpendoUbinadamu Author:Enock Maregesi