“Saa nane za usiku timu nzima ya Vijana wa Tume ilirudi San Ángel katika helikopta ya DEA, tayari kwa safari ya Salina Cruz katika jimbo la Oaxaca. Kukamatwa kwa Gortari, Eduardo na Dongyang ulikuwa ushindi mkubwa wa kwanza wa Tume ya Dunia. Ushindi huo ukalipua wimbi la kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa, wa Kolonia Santita, dunia nzima.” JourneyTeamVictoryWaveSafariKolonia SantitaTume Ya DuniaHelicopterVijana Wa TumeDeaWorldwideOaxacaSalina CruzDunia NzimaUshindi2 AmEduardo Chapa De ChristopherGortari ManuelHelikoptaTimuLi DongyangDongyangEduardoGortariInternational CriminalsSaa 8 Za UsikuSan ÁNgelWahalifu Wa KimataifaWimbi Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita
“Ghillie ni mavazi yaliyotumiwa na makomandoo wa Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya (Frederik Mogens, Radia Hosni, Daniel Yehuda na John Murphy) kama mbinu ya kujificha kwa kujifananisha na rangi au maumbo ya mazingira ya Msitu wa Benson Bennett, kama afanyavyo kinyonga. Hata hivyo, walivyoingia katika jumba la utawala katika maabara za Kolonia Santita ndani ya Msitu wa Benson Bennett katika mji wa Salina Cruz, Vijana wa Tume walivua suti zao za ghillie; kusudi iwe rahisi kwao kupambana na jeshi binafsi la Kolonia Santita, liitwalo 'autodefensa'.” TechniqueForestChameleonCamouflageCommandosJohn MurphyTume Ya DuniaVijana Wa TumeSalina CruzWorld CommissionAdministration BlockDaniel YehudaFrederik MogensRadia HosniMakomandooMsitu Wa Benson BennettBenson BennettMbinuThe Benson Bennett JungleAutodefensaGhillieGhillie SuitJeshi BinafsiJumba La UtawalaKamaflejiKinyongaKolonia Santita LaboratoriesMaabara Za Kolonia SantitaMsituPrivate ArmySuti Za Ghillie Author:Enock Maregesi
“Kofia za chuma au sandarusi zenye uwezo wa kukwepesha risasi za wadunguzi na kuzuia mpaka risasi tatu za AK-47, ijapokuwa zimetengenezwa kuzuia risasi moja tu, ni miongoni mwa vitu 17 vilivyobebwa na makomandoo wa Tume ya Dunia; wakati wakitekeleza Operesheni ya Kifo au Ushindi Kamili (operesheni ndogo ya Operation Devil Cross ya Tume ya Dunia) katika Msitu wa Benson Bennett, Salina Cruz, Oaxaca, nchini Meksiko. Thamani ya vitu vya komandoo mmoja wa EAC ('Executive Action Corps') akiwa vitani ni zaidi ya dola za Kimarekani 65,000; ikiwa ni pamoja na magwanda ya jeshi ('Ghillie Suits'), kofia za chuma, miwani ya kuonea usiku (yenye uwezo wa kubinuka chini na juu), redio na mitambo ya mawasiliano migongoni mwao juu ya vizibao vya kuzuia risasi, vitibegi vya msalaba mwekundu ('Blowout kits' – katika mapaja ya miguu yao ya kulia, ndani yake kukiwa na pisto na madawa ya huduma ya kwanza), vitibegi vya kujiokolea ('Evasion Kits' – katika mapaja ya miguu yao ya kushoto, ndani yake kukiwa na visu na pesa na ramani ya Meksiko) na bunduki za masafa marefu.” AmericaMoneyRoundsRadioKnivesMexicoPlasticBulletsHelmetDollarSnipersCommandosAk 47PesaPistolOperationTume Ya DuniaFirst AidMeksikoRisasiCommandoOaxacaSalina CruzWorld CommissionMarekaniEacMakomandooRedioBlowout KitsDolaEvasion KitsKomandooMsitu Wa Benson BennettPistoVisuVitibegi Vya KujiokoleaVitibegi Vya Msalaba MwekunduBullet Proof VestsBunduki Za Masafa MarefuExecutive Action CorpsGhillie SuitsKofia Za ChumaMitambo Ya MawasilianoOperation Devil CrossOperesheniThe Benson Bennett JungleVizibao Vya Kuzuia RisasiCommunications KitsDeath Or Total VictoryDola Za Kimarekani 65000HelmetiHuduma Ya KwanzaKifo Au Ushindi KamiliLong Range RiflesMagwanda Ya JeshiMexican MapMiwani Ya Kuonea UsikuNight Vision GogglesOperesheni Msalaba Wa ShetaniRamani Ya MeksikoSandarusiUsd 65000Wadunguzi Author:Enock Maregesi
“Meli ya kwanza kuondoka katika Bandari ya Salina Cruz kusini mwa Meksiko katika Bahari ya Pasifiki ni 'La Diosa de los Mares', 'Mungu wa Bahari', au 'Goddess of the Seas', Tani 6000, iliyoondoka saa tisa kamili usiku kuelekea Miami nchini Marekani; wakati ya mwisho kuondoka ilikuwa CSS ('Colonia Santita of the Seas', Tani 10000), na SPD ('El Silencio Depredador del Profundo', 'Mnyama Mtulivu wa Kina Kirefu', 'The Silent Predator of the Deep' – nyambizi ya Panthera Tigrisi), zilizoondoka saa kumi na moja alfajiri kuelekea Guatemala na Kolombia. Salina Cruz ni sehemu iliyopo kandokando mwa Bahari ya Pasifiki kusini kabisa mwa Meksiko na kaskazini-mashariki kwa Reparo Jicara katika jimbo la Oaxaca. Kambi ya Panthera Tigrisi ilijengwa ndani ya Msitu wa Benson Bennett – katika ufuko wa bahari kubwa kuliko zote ulimwenguni, iliyopuliza hewa na kuyumbisha miti anuai juu ya maabara kubwa kuliko zote katika Hemisifia ya Magharibi; ya kokeini, heroini, bangi, eksitasi na hielo ya China na Kolombia. Panthera Tigrisi alikamatwa katika Bahari ya Pasifiki. Kahima Kankiriho alikamatwa katika Msitu wa Bennett.” AmericaChinaEcstasyMarijuanaMexicoCocaineHeroinMiamiColombiaShipPacific OceanGuatemalaMethamphetamineCssMeksikoSubmarineOaxacaPanthera TigrisiSalina CruzHarborMarekaniBangiHieloKolombiaMeliMsitu Wa Benson BennettBenson BennettEksitasiKahima KankirihoMethamfetaminiSpd10000 Tons6000 TonsBahari Ya PasifikiBandariColonia Santita Of The SeasGoddess Of The SeasGwatemalaHemisifia Ya MagharibiHeroiniKokeiniLa Dios De Los MaresMnyama Mtulivu Wa Kina KirefuMungu Wa BahariNyambiziReparo JicaraShumuyaTani 10000Tani 6000The Silent Predator Of The DeepWestern Hemisphere Author:Enock Maregesi
“Sanjay Kanaka Ramachandra, 'The Satellite', baada ya kutoka Korea ya Kaskazini na Salina Cruz kwa ajili ya kozi maalumu ya ugaidi na kwa ajili ya Kiapo cha Swastika kwa mpangilio huo, alirudi Mumbai kusimamia shughuli za Kolonia Santita za bara la Asia na Australia – kwa uaminifu wa Sheria ya Kitalifa ya Kolonia Santita. Ramachandra, anayeitwa 'The Satellite' kwa sababu ya jina lake la mwisho, alipewa pia jukumu la kuyachunga Makao Makuu ya Kanda ya Asia-Australia ya Tume ya Dunia; na kupeleka taarifa yoyote ya kijasusi (inayohusiana na WODEC-Rangoon) Mexico City kwa ajili ya maamuzi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Kolonia Santita Gortari Manuel. Mojawapo ya operesheni kubwa alizowahi kuzifanya Ramachandra kwa niaba ya Kolonia Santita ni kuingiza nchini India mzigo wa tani 350 za majani ya koka, ijapokuwa tani 37 zilikamatwa na mamlaka za kuzuia madawa ya kulevya za India na za Tume ya Dunia, na kusambaza kilo 560 za kokeini safi (isiyokuwa na doa) katika nchi zote za Asia na Australia ndani ya siku 14.” IndiaTerrorismAustraliaAsiaNorth KoreaNarcoticsMumbaiMexico CityCourseKolonia SantitaOperationTume Ya DuniaMadawa Ya KulevyaSalina CruzGortari ManuelSetilaitiAsia AustraliaKiapo Cha SwastikaKorea Ya KaskaziniOperesheniSheria Ya Kitalifa14 Days350 Metric Tons37 Metric Tons560 KilosCoca LeavesKilo 560Kokeini Safi Isiyokuwa Na DoaKoziMajani Ya KokaPure CocaineSanjay Kanaka RamachandraSiku 14Tani 350Tani 37The SatelliteThe Swastika OathUgaidiWodec Rangoon Author:Enock Maregesi
“Kwa sababu za kijiografia, Copenhagen iko mbele kwa masaa 9 (PST) kuilinganisha na Tijuana (kaskazini-magharibi mwa Meksiko) na masaa 7 (CST) kuilinganisha na Salina Cruz (kusini-magharibi mwa Meksiko). Mauaji ya Meksiko yametokea saa 4 usiku wa Jumanne, Copenhagen ikiwa saa 1 asubuhi Jumatano CET. Saa 5 usiku wa Jumanne, El Tigre anahamishwa (na ndege binafsi) kutoka katika milima ya Tijuana (alikokuwa amejificha) mpaka katika jumba la kifahari la Eduardo Chapa de Christopher (Mkurugenzi wa Usafirishaji wa Kolonia Santita) nje ya Salina Cruz – ambako Chui anafika saa 10 alfajiri na kuendesha kikao cha dharura cha Bodi ya Wakurugenzi ya Kolonia Santita.” MexicoTuesdayTigerCopenhagenPrivate JetMansionTijuanaMeksikoEl TigreSalina CruzEduardo Chapa De ChristopherJumanneKikao Cha Dharura04 00 Hrs22 00 Hrs23 00 Hrs7 Hours9 HoursChuiCstEmergence MeetingJumba La KifahariKaskazini MagharibiKusini MagharibiMasaa 7Masaa 9Mauaji Ya MeksikoMexican MassacreMilima Ya TijuanaNdege BinafsiNorth WestPstSaa 10 AlfajiriSaa 4 UsikuSaa 5 UsikuSouth WestTijuana Mountains Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita