“WWPP ('WODEA Witness Protection Programme') ni Programu Maalumu ya Ushahidi ya Tume ya Dunia ya kuwakinga mashahidi wa kihalifu kwa kuwapa makazi mapya, majina mapya, kazi mpya, historia mpya ya maisha, na sura mpya, kuwakinga na Sheria ya Kitalifa ya Kolonia Santita. Ukivunja Sheria ya Kitalifa ya Kiapo cha Swastika cha Kolonia Santita utauwawa, tena utauwawa kinyama, wewe na familia yako.” DeathNamesFamilyHistoryWitnessJobHistoriaFacePlastic SurgeryFamiliaResidenceKolonia SantitaKaziKifoTume Ya DuniaSuraWorld CommissionWodeaKiapo Cha SwastikaSheria Ya KitalifaUshahidiLaw Of AllegianceMajinaMakaziOath Of SwastikaUpasuajiWwpp Author:Enock Maregesi
“Sanjay Kanaka Ramachandra, 'The Satellite', baada ya kutoka Korea ya Kaskazini na Salina Cruz kwa ajili ya kozi maalumu ya ugaidi na kwa ajili ya Kiapo cha Swastika kwa mpangilio huo, alirudi Mumbai kusimamia shughuli za Kolonia Santita za bara la Asia na Australia – kwa uaminifu wa Sheria ya Kitalifa ya Kolonia Santita. Ramachandra, anayeitwa 'The Satellite' kwa sababu ya jina lake la mwisho, alipewa pia jukumu la kuyachunga Makao Makuu ya Kanda ya Asia-Australia ya Tume ya Dunia; na kupeleka taarifa yoyote ya kijasusi (inayohusiana na WODEC-Rangoon) Mexico City kwa ajili ya maamuzi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Kolonia Santita Gortari Manuel. Mojawapo ya operesheni kubwa alizowahi kuzifanya Ramachandra kwa niaba ya Kolonia Santita ni kuingiza nchini India mzigo wa tani 350 za majani ya koka, ijapokuwa tani 37 zilikamatwa na mamlaka za kuzuia madawa ya kulevya za India na za Tume ya Dunia, na kusambaza kilo 560 za kokeini safi (isiyokuwa na doa) katika nchi zote za Asia na Australia ndani ya siku 14.” IndiaTerrorismAustraliaAsiaNorth KoreaNarcoticsMumbaiMexico CityCourseKolonia SantitaOperationTume Ya DuniaMadawa Ya KulevyaSalina CruzGortari ManuelSetilaitiAsia AustraliaKiapo Cha SwastikaKorea Ya KaskaziniOperesheniSheria Ya Kitalifa14 Days350 Metric Tons37 Metric Tons560 KilosCoca LeavesKilo 560Kokeini Safi Isiyokuwa Na DoaKoziMajani Ya KokaPure CocaineSanjay Kanaka RamachandraSiku 14Tani 350Tani 37The SatelliteThe Swastika OathUgaidiWodec Rangoon Author:Enock Maregesi