“The air is so dry, so clear, and there's so few people, almost no lights. And you can lie on your back and look up and see the Milky Way. All the stars like a splash of milk in the sky. And you see them slowly move. Because the Earth is moving. And you feel like you're lying on a giant spinning ball in space.” LifeEarthStarsSpaceExistenceWonderExistentialismThe WorldStargazingThe Milky Way Book:Exit West Source: Exit West
“Falaki maana yake ni kundi la nyota na sayari ikiwemo dunia. Falaki yetu inaitwa Njiamaziwa, ‘the Milky Way galaxy’, yenye mabilioni ya mifumo ya jua ukiwemo wa kwetu. Mungu alisimamisha jua katika falaki ya Njiamaziwa kwa ajili ya Yoshua, ili apate muda wa kutosha kuwashinda maadui zake – wanajeshi wa mataifa matano. Kila mtu alishangaa sana kipindi hicho. Kila mtu anashangaa sana kipindi hiki. Mungu akikubariki watu watasema wewe ni mchawi. Hawatajua nini kilitokea. Kwani kwa Mungu hakuna kinachoshindikana. Mungu aliweza kutenda miujiza kwa ajili ya Yoshua, na kwa ajili ya wana wa Israeli huko Gibeoni na huko Aiyaloni, anaweza kutenda miujiza kwa ajili yako popote pale ulipo. Mungu anachotaka kutoka kwako ni imani ya kweli juu yake, kwa mwili na kwa roho yako yote.” WorldGodEarthTimeStarsSunBillionsWitchGalaxyMiraclesEnemiesSoldiersMunguPlanetTrue FaithDuniaWizardSolBody And SoulMudaJoshuaMaaduiIsraelitesJuaSolar SystemsYoshuaNyotaSayariThe Milky WayWana Wa IsraeliGibeonImani Ya KweliFalakiGibeoniMwili Na RohoNjiamaziwaTarraAijalonAiyaloniFive NationsMabilioniMataifa MatanoMchawiMifumo Ya JuaMiujizaWanajeshi Author:Enock Maregesi
“Dunia – Mfumo wa Jua wa Sol – Solar Interstellar Neighborhood – Njiamaziwa – Local Galactic Group – Virgo Supecluster – Local Supercluster – Ulimwengu unaoonekana – Ulimwengu. Huu ndiyo ukoo wa dunia yetu. Chochote alichokifanya Yoshua kilitokea katika ukoo huu.” EarthUniverseDuniaUlimwenguJoshuaClanYoshuaThe Milky WayLaniakeaObservable UniverseLocal SuperclusterNjiamaziwaSol SectorSolar Interstellar NeighborhoodUkooUlimwengu UnaoonekanaVirgo SuperclusterLocal Galactic GroupMfumo Wa Jua Wa SolOur Earth S ClanUkoo Wa Dunia Yetu Author:Enock Maregesi
“The country people, indeed, did not always clearly distinguish between the Fairies and the dead. They called them both the 'Silent People'; and the Milky Way they thought was the path along which the dead were carried to Fairyland.” DeathFairyFairiesThe DeadFairylandSilent PeopleThe Milky Way Book:Lud-in-the-Mist Source: Lud-in-the-Mist