“Lakini kanuni hii (‘optimal stopping’) ina walakini. Kwa mfano utajuaje watu au wapenzi utakaotembea nao au kuachana nao katika kipindi chote cha maisha yako? Au itakuaje kama mpenzi wako wa kwanza uliyemwacha ndiye yule ambaye Mungu alikupangia kuwa naye maishani?” LoversYour LifeMaisha YakoDefectOptimal StoppingKanuni Ya Kuachana Na UkaperaWapenziMpenzi Wako Wa KwanzaWalakiniYour First Lover Author:Enock Maregesi