“Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wana mapenzi ya kweli. Ishirini na mbili hadi ishirini na nne wana mawenge. Ishirini na nne hadi ishirini na saba wanajitambua. Ishirini na saba hadi thelathini wana hofu na mashaka mengi. Thelathini hadi thelathini na tano wana msongo wa mawazo. Thelathini na tano hadi arobaini na mbili ndoa nyingi huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita. Wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita, wengi wao wana DNA ya wapenzi wao wa zamani.” MenFearWomenSecretMarriageLoversDepressionTrue LoveDnaRestlessnessDoubtsSiriWanawakeNdoaWanaumeMapenzi Ya KweliVinasabaWapenziHofuMashakaMawengeMsongo Wa Mawazo Author:Enock Maregesi
“Lakini kanuni hii (‘optimal stopping’) ina walakini. Kwa mfano utajuaje watu au wapenzi utakaotembea nao au kuachana nao katika kipindi chote cha maisha yako? Au itakuaje kama mpenzi wako wa kwanza uliyemwacha ndiye yule ambaye Mungu alikupangia kuwa naye maishani?” LoversYour LifeMaisha YakoDefectOptimal StoppingKanuni Ya Kuachana Na UkaperaWapenziMpenzi Wako Wa KwanzaWalakiniYour First Lover Author:Enock Maregesi