“Dikteta uchwara ni sifa nzuri au sifa mbaya? Tafakari. JPM ni kipenzi cha watu. Lissu ni kipenzi cha watu pia. Kupambana na kipenzi cha watu si kazi rahisi.” DictatorReflectWorthlessnessGood ReputationBad ReputationDiktetaDikteta UchwaraWorthless DictatorJpmLissuSifa NzuriKipenzi Cha WatuMan Of The PeopleSifa MbayaTafakari Author:Enock Maregesi
“Dikteta uchwara ni sifa nzuri na Lissu analijua hilo kwa sababu yeye ni mwanasheria, na JPM analijua hilo kwa sababu yeye ni Rais wa nchi. Rais ni alama ya utulivu wa nchi. Hatima ya Lissu iko mikononi mwa JPM.” LawyerDictatorWorthlessnessGood ReputationRais Wa NchiDiktetaDikteta UchwaraMwanasheriaWorthless DictatorJpmLissuSifa NzuriHatima Ya LissuIn The Hands Of JpmMikononi Mwa JpmPresident Of The CountryThe Fate Of LissuUchwara Author:Enock Maregesi
“Dikteta ni kiongozi anayetawala nchi kwa amri yake peke yake bila ya kushauriwa na mtu, hasa yule aliyeingia madarakani kwa mtutu wa bunduki. Dikteta uchwara si dikteta, ni dikteta nusu.” CountryLeaderPowerCommandDictatorPersonMtuNchiKiongoziAmriDiktetaDikteta UchwaraWorthless DictatorDikteta NusuGun BarrelHalf DictatorMadarakaniMtutu Wa Bunduki Author:Enock Maregesi