“Mungu alimuumba mwanadamu ili aitawale dunia. Shetani tayari alikuwepo wakati Adamu anaumbwa. Adamu na Hawa walipokula tunda la mti wa katikati, walikufa kiroho – Yaani, walipoteza sura na asili ya Mungu – Shetani akawashinda kuanzia kipindi hicho na kuendelea. Tulizaliwa katika dhambi. Kila mtu anayezaliwa anazaliwa katika dhambi. Njia pekee ya kuikomboa sura na asili ya Mungu ni kumpokea Yesu (Kristo) kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako.” WorldLifeGodJesusChristNatureSinLordTreeJesus ChristFruitManSatanSaviorAdamImageMunguDuniaShetaniMaishaEveYesu KristoYesuDhambiKristoAdamuGod S ImageAsiliGod S NatureHawaSuraBwanaMwanadamuTundaMtiMwokoziAsili Ya MunguSura Ya Mungu Author:Enock Maregesi
“Maamuzi ya Adamu na Hawa ya kutokumtii Mungu juu ya Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya, ndiyo yaliyosababisha Yesu Kristo ajitolee maisha yake ili wengine waweze kuishi. Hakuna Mungu bila Yesu. Mtafute Yesu, kukomboa sura na asili ya Mungu.” LifeGodNatureSacrificeJesus ChristDecisionsAdamOthersImageMunguMaishaEveYesu KristoWengineAdamuGod S ImageMaamuziAsiliGod S NatureHawaKujitoleaSuraMti Wa Maarifa Ya Mema Na MabayaAsili Ya MunguSura Ya MunguHakuna Mungu Bila YesuNo God Without Jesus Author:Enock Maregesi