“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake yote. Fanya kile ulichosema utafanya, hata kama sehemu ya kile ulichosema utafanya uliinukuu kutoka kwa wengine, hata kama watu hawatakubaliana na wewe.” DecisionsYouProblemsOthersDoMatatizoWengineWeweMaamuziFanyaAgreedKubaliana Author:Enock Maregesi
“Kabla hujaanza kufanya chochote, au kusema chochote, pangilia mawazo.” DoSayBeforeAnyMawazoArrangeFanyaSemaInner DialoguesKablaMazungumzo Ya NdaniPangiliaChochote Author:Enock Maregesi
“Ukila kiapo fanya kile ulichoahidi katika kiapo, si kinyume chake hata kidogo, hata kama dunia haitakubaliana na wewe.” WorldYouOathDoDuniaWeweFanyaKiapo Author:Enock Maregesi