“Humans have a great capacity for declaring something good or evil, without truly knowing.” ~Sarayu” Good Or EvilSarayu Book:The Shack Source: The Shack
“Uzima wa milele si mchezo wa kubahatisha! Kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake, mema au mabaya, na huo uzima wa milele atapewa yule atakayetenda mema maisha yake yote.” LifeActionsEternal LifeLotteryMaishaGood Or EvilMatendoMema Au MabayaUzima Wa MileleMchezo Wa Kubahatisha Author:Enock Maregesi
“Mungu ana uwezo wa kukuwekea ulinzi kulia na kushoto yaani anayekulinda naye ana mlinzi wake. Lakini wakati mwingine anaacha ufuate kile ambacho moyo wako unataka kwa sababu hataki kukulazimisha ijapokuwa uwezo huo anao. Mungu hakukuumba kuwa roboti. Alikuumba kuwa huru kuchagua mema au mabaya usije ukamlaumu baadaye kwamba ulimchagua yeye kwa sababu hukuwa na uhuru. Msikilize Roho wa Mungu, kabla na katika kila jambo unalofanya.” HeartGodDefenceMunguRobotMoyoUlinziGood Or EvilMema Au MabayaRoboti Author:Enock Maregesi