“Mungu hakutuumba ili tuwe roboti, ambayo hufanya kazi kama ilivyoelekezwa. Alituumba ili tuwe huru. Yaani, tuwe na uwezo wa kuchagua mema au mabaya – ndiyo maana akaweka Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya katika Bustani ya Edeni – ndiyo maana akamtuma Shetani kuwajaribu Adamu na Hawa, wazazi wetu wa kwanza.” GodEvilCapacityGoodParentsSatanFreeMunguGarden Of EdenShetaniRobotUwezoMabayaMemaWazaziHuruBustani Ya EdeniMti Wa Maarifa Ya Mema Na MabayaOur First ParentsWazazi Wetu Wa KwanzaRoboti Author:Enock Maregesi
“Mungu ana uwezo wa kukuwekea ulinzi kulia na kushoto yaani anayekulinda naye ana mlinzi wake. Lakini wakati mwingine anaacha ufuate kile ambacho moyo wako unataka kwa sababu hataki kukulazimisha ijapokuwa uwezo huo anao. Mungu hakukuumba kuwa roboti. Alikuumba kuwa huru kuchagua mema au mabaya usije ukamlaumu baadaye kwamba ulimchagua yeye kwa sababu hukuwa na uhuru. Msikilize Roho wa Mungu, kabla na katika kila jambo unalofanya.” HeartGodDefenceMunguRobotMoyoUlinziGood Or EvilMema Au MabayaRoboti Author:Enock Maregesi