“Mungu hakutuumba ili tuwe roboti, ambayo hufanya kazi kama ilivyoelekezwa. Alituumba ili tuwe huru. Yaani, tuwe na uwezo wa kuchagua mema au mabaya – ndiyo maana akaweka Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya katika Bustani ya Edeni – ndiyo maana akamtuma Shetani kuwajaribu Adamu na Hawa, wazazi wetu wa kwanza.” GodEvilCapacityGoodParentsSatanFreeMunguGarden Of EdenShetaniRobotUwezoMabayaMemaWazaziHuruBustani Ya EdeniMti Wa Maarifa Ya Mema Na MabayaOur First ParentsWazazi Wetu Wa KwanzaRoboti Author:Enock Maregesi
“Damu, mto wa maisha unaotiririsha maji yake mwilini kwa kusukumwa na pampu za moyo na kuchujwa na fizi za mapafu, inaundwa na seli na maji yaitwayo utegili au maji ya damu, ambayo kazi yake ni kusafirisha oksijeni na virutubisho katika kila sehemu ya mwili, ndani yake kuna roho. Mungu alitoa kafara ya damu kwa ajili ya Adamu na Hawa katika Bustani ya Edeni. Ibrahimu alitoa kafara ya damu kwa ajili ya Israeli ijapokuwa mapenzi ya Mungu kwa Israeli yalikwisha baada ya kusulubiwa kwa Yesu Kristo. Wana wa Israeli walitoa kafara za damu kwa ajili ya wokovu wa watoto wao wa kwanza na watoto wa kwanza wa wanyama wao nchini Misri. Mungu alitoa kafara ya damu ya Yesu Kristo nchini Israeli kwa ajili ya wanadamu wote duniani. Damu ya mwanakondoo ina nguvu kuliko maombi, imetiwa wakfu na Mwenyezi Mungu na ina uhusiano mkubwa na ulimwengu wa roho. Ukifunikwa na damu ya mwanakondoo Shetani hatakuona. Shetani asipokuona, utafanikiwa.” HumansGodBodySpiritWaterBloodJesus ChristIsraelSatanEgyptOxygenIsraeliAbrahamPrayersAdam And EveMunguGod S WillNutrientsShetaniCellYesu KristoPlasmaMwenyezi MunguMwiliGod AlmightyBlood SacrificeOrdainedRohoWanadamuDamuIsraelitesMaombiMajiRiver Of LifeAdamu Na HawaBlood Of The LambMapenzi Ya MunguIbrahimuBustani Ya EdeniDamu Ya MwanakondooMisriOksijeniSeliWana Wa IsraeliThe Garden Of EdenUlimwengu Wa RohoVirutubishoWakfuCrucifixion Of Jesus ChristKafara Ya DamuSpritual WorldAir SacsAlveoliFizi Za MapafuHeart PumpsKusulubiwa Kwa Yesu KristoMaji Ya DamuMto Wa MaishaPampu Za MoyoUtegili Author:Enock Maregesi
“Kabbalah' ni sayansi ya Mti wa Uzima wa Milele wa Bustani ya Edeni au 'The Tree of Life of the Garden of Eden' katika mbingu ya nne, ambayo ni ramani ya ulimwengu na roho ya mwanadamu; au Sayansi ya Mungu, uchawi wa kujua 99% ya siri ya uumbaji wa Mungu.” SoulScienceUniverseWitchcraftHuman BeingGarden Of EdenTree Of LifeKabbalahMapUlimwenguRoho99Bustani Ya EdeniFourth DimensionMwanadamuSayansiMti Wa Uzima Wa MileleRamaniUchawiGod S ScienceMbingu Ya NneSayansi Ya MunguSecret Of God S CreationSiri Ya Uumbaji Wa Mungu Author:Enock Maregesi
“Kuwepo kwa Mti wa Uzima wa Milele katika Bustani ya Edeni (pamoja) na Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya inamaanisha, Adamu na Hawa walikuwa hai kiroho mpaka walipokula tunda la mti wa katikati ambapo hali yao ya maisha ilibadilika. Adamu na Hawa walikufa lakini hawakufa – walikufa baadaye kabisa. Hii inamaanisha kwamba (haya ni mawazo yangu tu) mtu anapokufa anakuwa amekula tunda la mti wa katikati, litakalomwezesha kuendelea kuishi katika hali nyingine ya maisha ambayo sisi hatuijui.” LifeAliveTreeFruitAdamGarden Of EdenTree Of LifeTorahMaishaEveAdamuHawaHaiBustani Ya EdeniTundaMtiMti Wa Maarifa Ya Mema Na MabayaMti Wa Uzima Wa MileleCheit Eitz Hada At Author:Enock Maregesi