“Kuwepo kwa Mti wa Uzima wa Milele katika Bustani ya Edeni (pamoja) na Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya inamaanisha, Adamu na Hawa walikuwa hai kiroho mpaka walipokula tunda la mti wa katikati ambapo hali yao ya maisha ilibadilika. Adamu na Hawa walikufa lakini hawakufa – walikufa baadaye kabisa. Hii inamaanisha kwamba (haya ni mawazo yangu tu) mtu anapokufa anakuwa amekula tunda la mti wa katikati, litakalomwezesha kuendelea kuishi katika hali nyingine ya maisha ambayo sisi hatuijui.” LifeAliveTreeFruitAdamGarden Of EdenTree Of LifeTorahMaishaEveAdamuHawaHaiBustani Ya EdeniTundaMtiMti Wa Maarifa Ya Mema Na MabayaMti Wa Uzima Wa MileleCheit Eitz Hada At Author:Enock Maregesi