“Kabbalah' ni sayansi ya Mti wa Uzima wa Milele wa Bustani ya Edeni au 'The Tree of Life of the Garden of Eden' katika mbingu ya nne, ambayo ni ramani ya ulimwengu na roho ya mwanadamu; au Sayansi ya Mungu, uchawi wa kujua 99% ya siri ya uumbaji wa Mungu.” SoulScienceUniverseWitchcraftHuman BeingGarden Of EdenTree Of LifeKabbalahMapUlimwenguRoho99Bustani Ya EdeniFourth DimensionMwanadamuSayansiMti Wa Uzima Wa MileleRamaniUchawiGod S ScienceMbingu Ya NneSayansi Ya MunguSecret Of God S CreationSiri Ya Uumbaji Wa Mungu Author:Enock Maregesi
“Kuwepo kwa Mti wa Uzima wa Milele katika Bustani ya Edeni (pamoja) na Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya inamaanisha, Adamu na Hawa walikuwa hai kiroho mpaka walipokula tunda la mti wa katikati ambapo hali yao ya maisha ilibadilika. Adamu na Hawa walikufa lakini hawakufa – walikufa baadaye kabisa. Hii inamaanisha kwamba (haya ni mawazo yangu tu) mtu anapokufa anakuwa amekula tunda la mti wa katikati, litakalomwezesha kuendelea kuishi katika hali nyingine ya maisha ambayo sisi hatuijui.” LifeAliveTreeFruitAdamGarden Of EdenTree Of LifeTorahMaishaEveAdamuHawaHaiBustani Ya EdeniTundaMtiMti Wa Maarifa Ya Mema Na MabayaMti Wa Uzima Wa MileleCheit Eitz Hada At Author:Enock Maregesi