“Damu na maji vilitoka katika mbavu za Yesu Kristo kutokana na upungufu wa damu mwilini, hipovolimia, kulikotokana na kuchapwa bakora. Yesu alichapwa bakora arobaini kabla ya kupelekwa Golgotha. Matokeo ya hipovolimia katika mwili wa mtu ni moyo kwenda mbio kusukuma damu iliyopungua, kuzimia kutokana na msukumo wa damu kuwa chini, figo kushindwa kufanya kazi na kiu ya maji.” HeartBodyWaterBloodThirstyMoyoMwiliGolgothaDamuMajiKidneyHypovolemic ShockHipovolimiaJesus Christ S RibsMbavu Za Yesu KristoBakora ArobainiFigoFloggedForty StripesKiu Ya MajiKuchapwa BakoraUpungufu Wa Damu Mwilini Author:Enock Maregesi
“Kuna ushahidi wa kutosha katika maandiko kwamba Yesu aliugua hipovolimia kutokana na kuchapwa. Yesu alipobeba msalaba wake kuelekea Golgotha alianguka, na mtu mmoja aliyeitwa Simoni alilazimishwa ama kuubeba au kumsaidia Yesu kuubeba msalaba huo hadi kilimani. Kuanguka huko kunaonyesha kwamba Yesu alikuwa na shinikizo la damu. Alama nyingine inayoonyesha kwamba Yesu alipatwa na ugonjwa wa hipovolimia ni pale alipodai kuwa alikuwa na kiu, akiwa msalabani, akimaanisha kiu ya maji.” JesusEvidenceScripturesThirstyCrossBlood PressureSimonSignYesuGolgothaAlamaMsalabaHilltopHypovolemic ShockKiuHipovolimiaUshahidiKilimaniMaandikoShinikizo La DamuSimoni Author:Enock Maregesi