“Damu na maji vilitoka katika mbavu za Yesu Kristo kutokana na upungufu wa damu mwilini, hipovolimia, kulikotokana na kuchapwa bakora. Yesu alichapwa bakora arobaini kabla ya kupelekwa Golgotha. Matokeo ya hipovolimia katika mwili wa mtu ni moyo kwenda mbio kusukuma damu iliyopungua, kuzimia kutokana na msukumo wa damu kuwa chini, figo kushindwa kufanya kazi na kiu ya maji.” HeartBodyWaterBloodThirstyMoyoMwiliGolgothaDamuMajiKidneyHypovolemic ShockHipovolimiaJesus Christ S RibsMbavu Za Yesu KristoBakora ArobainiFigoFloggedForty StripesKiu Ya MajiKuchapwa BakoraUpungufu Wa Damu Mwilini Author:Enock Maregesi
“Kuna sababu za msingi na za kinabii za damu na maji vilivyotoka katika mbavu za Yesu Kristo msalabani. Ubavu wake uliochomwa na mkuki ulithibitisha kifo chake cha kibinadamu, huku vingine vyote vikitimiza unabii wake uliotajwa na Yohana.” DeathProphecyCrossJohnKifoSpearBlood And WaterMkukiDamu Na MajiMsalabaniUnabiiYohanaJesus Christ S RibsMbavu Za Yesu Kristo Author:Enock Maregesi