“Mheshimu sana mtu aliyekupandisha juu kwa sababu utakaposhuka ndiye atakayekupokea, ijapokuwa unaweza usishuke kabisa au unaweza kushuka ukapokelewa na mtu mwingine baki, kwa kudura za Mwenyezi Mungu.” RespectPersonAlmighty GodTopMtuMwenyezi MunguHeshimaJuuAnother PersonGod S BountyKudura Za Mwenyezi MunguMtu Mwingine Author:Enock Maregesi
“Ukiwa juu uwezekano wa kushuka chini ni mkubwa sana, kuliko ukiwa chini ambapo uwezekano wa kupanda juu ni mkubwa sana.” UpDownMafanikioUmaskiniJuuChini Author:Enock Maregesi
“Usimdharau mtu aliyesaidia kukusukuma juu katika ngazi ya mafanikio yako, ikiwa utafanikiwa, kwa sababu kuna leo na kesho. Ukishuka, kama ulimdharau, hatakuamini tena. Lakini ukishuka, kama ulimheshimu, na kama bado ana uwezo wa kukupandisha juu, atakupandisha tena.” TodayTomorrowPersonTopLadder Of SuccessMtuLeoKeshoJuuNgazi Ya Mafanikio Author:Enock Maregesi