“Ukimpigia mtu kura kwa sababu za kishabiki, kikabila, kidini, kirafiki au rushwa, umeshindwa kuongea na nchi yako kama inavyopaswa, umeshindwa kuwa mzalendo wa kweli, usimlalamikie yule aliyechaguliwa.” ReligionVoteCorruptionFriendTribeDiniRafikiKuraRushwaKabila Author:Enock Maregesi
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa kipekee.” GodReligionGenderPlanMunguTribeDiniMpangoKabilaJinsia Author:Enock Maregesi