“Ukimpigia mtu kura kwa sababu za kishabiki, kikabila, kidini, kirafiki au rushwa, umeshindwa kuongea na nchi yako kama inavyopaswa, umeshindwa kuwa mzalendo wa kweli, usimlalamikie yule aliyechaguliwa.” ReligionVoteCorruptionFriendTribeDiniRafikiKuraRushwaKabila Author:Enock Maregesi
“Kura ni haki yako ya msingi kabisa kwa ajili ya maendeleo yako na ya nchi yako. Ongea na nchi yako. Yaani, chagua kiongozi atakayeweza kukuletea maendeleo. Kama hujachagua mtu, usimlalamikie yule aliyechaguliwa.” CountryLeaderProgressVoteNchiKiongoziMaendeleoKuraOngea Na Nchi YakoTalk To Your Country Author:Enock Maregesi
“Kwa vile kura yako ni sauti yako ongea na nchi yako kwa kupiga kura sahihi bila kukosea au bila shinikizo la rushwa au dini au kabila au ushabiki, kwa ajili ya maendeleo yako na ya nchi yako.” VoteCorruptionYour CountryYour VoiceNchi YakoKuraRushwaMaendeleo YakoSauti YakoYour Progress Author:Enock Maregesi