“Adui aitwaye SARS-CoV-2, anayesababisha Ugonjwa wa Virusi vya Korona, ananyemelea watu Usiku. Suluhisho la adui huyo ni Mungu, kwani kwa Mungu Usiku unakuwa Mchana.” CoronavirusCovid19CoronaKoronaSarscov2Uvico19 Author:Enock Maregesi
“Kirusi cha SARS-CoV-2 kina akili zaidi kuliko binadamu; kwani kinajua sehemu salama ya chenyewe kuishi ni ndani ya seli ya binadamu ambapo kitajificha na kujichanganya na mfumo wa seli, kiasi cha sayansi yote ya kibinadamu kushindwa kukiua bila kwanza kuua seli nzima! Lakini binadamu ni hatari zaidi kuliko kirusi cha SARS-CoV-2, kwa sababu binadamu huyohuyo ameshindwa kumwamini Mungu japo anamjua.” CoronavirusCovid 19VirusCoronaKoronaKirusiSars Cov 2Uvico 19 Author:Enock Maregesi
“Tanzania ina majanga mawili kuhusiana na UVIKO-19: Janga la Korona na janga la watu wasiotaka kuchanjwa! Nisikilize! Kataa kwa hekima! Acha Mungu achanjwe kwa niaba yako!” GodWisdomCovid19MunguCoronaTanzaniaHekimaKoronaUviko19 Author:Enock Maregesi
“Čitao sam tako prije nekoliko dana kako je od korone negdje umrla mlada žena, dvadesetsedmogodišnja zubarica. Nije se cijepila jer je htjela imati djecu, a čitala je na društvenoj mreži da cijepljeni, vrlo vjerojatno, ne mogu imati djecu. Nijedan je liječnik nije mogao uvjeriti u suprotno. Pa, dobro, sad je to gotovo, pomislio sam: Svaka je sumnja otklonjena. Ona definitivno i neopozivo neće imati djecu. Ali ne zbog cjepiva, nego zbog neugodne biološke činjenice da je mrtva.” SmrtKoronaCijepljenje Author:Ante Tomić