“Ndugu zangu, malaika wanatulinda. Wako katikati ya maadui zetu na sisi. Hatujui ni mara ngapi malaika wameingilia kati kuokoa maisha yetu, kutuepusha na nguvu za Shetani na malaika wake wakorofi. Lakini nina hakika ya kwamba wamefanya hivyo mara nyingi katika mazingira ambapo aghalabu sisi huwa hatuelewi.” Our LivesSatanEnemiesBrethrenShetaniEngelsMaaduiMalaikaMaisha YetuNdugu Zangu Author:Enock Maregesi
“Wazazi wetu wanajua nini kilitokea kabla na baada ya sisi kuzaliwa! Wanaona mbele ya maisha yetu kwa sababu hata wao walishayapitia.” Our LivesMaisha YetuOur ParentsThey Know What HappenedThey See Ahead Of Our LivesWanajua Nini KilitokeaWanaona Mbele Ya Maisha YetuWazazi Wetu Author:Enock Maregesi