“Maombi ya sifa huunganisha watu wa Mungu na hutayarisha njia kwa ajili ya uwezo wa Mungu katika maisha yetu. Thamani ya maombi ya sifa wakati wa matatizo ni kuimarisha imani yetu, na kuwa karibu na Mungu wetu. Mungu anataka tumpe sifa na kumshukuru kwa kila jambo, kama Mtume Paulo anavyosema katika waraka wa kwanza wa Wathesalonike 5:16-18. Kumshukuru Mungu wakati wa matatizo ni amri, si ombi.” PeopleWayLifeGodFaithPowerfulPowerPraiseValueCommandThanksNeedAlmightyThank YouRequestLetterPrayersPaulMatatizoImaniApostleMaombiKuombaAppreciationsSifaKushukuruThamaniAmriOmbiMwenyeziMtumeThessaloniansThessalonians 5 16 18WarakaWathesalonikeWathesalonike 5 16 18 Author:Enock Maregesi
“Kuipinga serikali si kuichukia; bali ni ombi la kutaka ibadilike.” GovernmentPrayerHatredOppositionSerikaliChukiOmbiUpinzani Author:Enock Maregesi
“Sala ni ombi la jambo ambalo si la kawaida. Kufanikisha jambo ambalo si la kawaida lazima utulie.” PrayerRequestOmbiSala Author:Enock Maregesi