“Kila kipato kina mashetani yake, mengine mazuri na mengine mabaya, lakini mengi ni mabaya. Wakati mwingine maskini ahitaji pesa, pesa anaweza kushindwa kuidhibiti, anahitaji paa na kuta nne kujisetiri yeye na familia yake.” EvilPoorMoneyFamilyGoodIncomeRoofFamiliaFour WallsDevilsMaskiniPesaMabayaMazuriMashetaniPaaKipatoKuta Nne Author:Enock Maregesi
“Wakati ndege inapaa huwa inapambana na upepo. Lakini inapaa, hata hivyo.” LifeSuccessLandWindFightEnemiesMaishaPlaneMafanikioMaaduiTake OffAeroplaneNdegeTuaPambanaHeadwindPaaUpepoUpepo Wa Mbisho Author:Enock Maregesi