“Dhambi ya Adamu ilileta mauti duniani (kwa viumbe vyote, si tu kwa binadamu). Hiyo ni kwa mujibu wa Biblia. Kisayansi si kweli; kwa sababu mauti yalikuwepo kabla Adamu na Hawa hawajaumbwa! Lakini haya ndiyo mawazo yangu: Dhambi iliathiri uumbaji wote ikiwemo mimea, wanyama, wadudu na kila kitu kilichoumbwa na Mwenyezi Mungu; ambavyo huteseka kwa sababu ya laana ya dunia. Kama wanyama na mimea visingekuwa vinakufa, binadamu wasingepata mahali pa kuishi. Hata hivyo, kifo cha Yesu msalabani kitafufua kila kitu – kitafufua uumbaji wote.” DeathSinBibleAdamAnimalsInsectsPlantsAdam And EveAlmighty GodHuman BeingBibliaDhambiBinadamuMwenyezi MunguAdamuAdamu Na HawaWanyamaAll CreationMautiPlace To LiveCurse Of The WorldDeath Of Jesus On The CrossKifo Cha Yesu MsalabaniLaana Ya DuniaMahali Pa KuishiMimeaUumbaji WoteViumbe VyoteWaduduWhole Creation Author:Enock Maregesi
“He remembered his mother once telling him that there were more than three hundred types of cheese made in France. Soured had solemnly replied that one day he would go there and try every one. There were worse reasons to choose a place to live” FranceCheesePlace To Live Book:The Paris Hours Source: The Paris Hours