“Mungu ndiye aliyetengeneza ubongo. Ni vizuri kuamini kwamba Yeye ndiye anayetupa maarifa, kupitia malaika wema, kuhusu maisha yetu na kuhusu siri ya uumbaji wake.” GodBrainKnowledgeLivesMunguMaishaMaarifaUbongoGood AngelsMalaika WemaMystery Of CreationSiri Ya Uumbaji Author:Enock Maregesi
“Wachawi wanaabudu miungu ambayo ndani yake kuna Shetani, aliyesababisha Ibilisi achague mabaya badala ya mema kabla Mungu hajamfukuza mbinguni. Shetani ndani yake kuna Shetani. Huyo Shetani aliyeko ndani ya Shetani, anayeitwa Roho ya Mabadiliko ya Kweli ya Ufahamu Kamili wa Siri ya Uumbaji wa Mungu (kwani ukiijua siri ya uumbaji wa Mungu unakuwa kama Mungu), ndiye anayeabudiwa na wachawi.” GodEvilHeavenGoodSatanGodsWitchesWizardsMunguLuciferReal ChangeShetaniMabayaMbinguniMemaIbilisiWachawiComplete UnderstandingMiunguSpirit Of ChangeMabadiliko Ya KweliRoho Ya MabadilikoSiri Ya UumbajiUfahamu KamiliSecret Of Creation Author:Enock Maregesi