“Wachawi wanamwabudu Shetani. Lakini Shetani wanayemwabudu si Shetani Ibilisi aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu kuja kuudanganya ulimwengu wote. Ni Shetani roho ya mabadiliko, mabadiliko ya kweli, ya ufahamu kamilia ulimwengu huu ambamo sisi sote tunaishi. Wachawi, kwa maneno mengine, wanaabudu miungu – kama vile Inanna wa Mesopotamia, Isis wa Misri, Asherah wa Kaanani au Belus wa Assyria ambaye ndiye mungu wa kwanza kuabuadiwa kama sanamu duniani – iliyotwaliwa na Shetani tangu misingi ya ulimwengu huu kusimikwa. Dhambi aliyotenda Shetani mbinguni ni ndogo kuliko dhambi wanazotenda wachawi duniani, ijapokuwa dhambi aliyotenda Shetani haitaweza kusamehewa na ndiyo maana Shetani hataweza kuwasamehe wanadamu. Ni jukumu letu kuwaita wachawi wote kutoka Babeli na kuwaleta katika ukweli kama kweli wanayemwabudu ni Shetani Ibilisi, Shetani Beelzebub, Shetani Asmodeus, Shetani Leviathan, Shetani Mammon, Shetani Amon au Shetani Belphegor ambao ni mabingwa wa kiburi, uroho, zinaa, wivu, fedha, hasira na uvivu duniani. Wachawi hawajui, na usipojua waweza kufa bila kujua.” WorldHumansGodTruthUniverseHeavenSinMoneyPrideLustIdolsDieGodsWitchesWrathWizardsSlothAlmighty GodMunguLuciferGluttonyReal ChangeBabylonLeviathanStatueDhambiUlimwenguMwenyezi MunguUkweliAsmodeusMbinguniHasiraWanadamuDunianiKiburiMammonKufaIbilisiUvivuWachawiAmonComplete UnderstandingBeelzebubFoundations Of This UniverseMiunguIsis Of EgyptMalicious EnvySanamuSpirit Of ChangeWivuAshera Of CanaanBabeliBelphegorFedhaMabadiliko Ya KweliRoho Ya MabadilikoUfahamu KamiliUrohoZinaaAsherah Wa KaananiBelus Of AssyriaBelus Wa AssyriaInanna Of MesopotamiaInanna Wa MesopotamiaIsis Wa MisriMisingi Ya Ulimwengu Huu Author:Enock Maregesi
“Wachawi wanaabudu miungu ambayo ndani yake kuna Shetani, aliyesababisha Ibilisi achague mabaya badala ya mema kabla Mungu hajamfukuza mbinguni. Shetani ndani yake kuna Shetani. Huyo Shetani aliyeko ndani ya Shetani, anayeitwa Roho ya Mabadiliko ya Kweli ya Ufahamu Kamili wa Siri ya Uumbaji wa Mungu (kwani ukiijua siri ya uumbaji wa Mungu unakuwa kama Mungu), ndiye anayeabudiwa na wachawi.” GodEvilHeavenGoodSatanGodsWitchesWizardsMunguLuciferReal ChangeShetaniMabayaMbinguniMemaIbilisiWachawiComplete UnderstandingMiunguSpirit Of ChangeMabadiliko Ya KweliRoho Ya MabadilikoSiri Ya UumbajiUfahamu KamiliSecret Of Creation Author:Enock Maregesi