“Jukumu la kwanza la kanisa ni kueneza injili duniani kote kama tunavyoambiwa katika mathayo 24:14. Haijalishi utaieneza vipi, kwa sababu Mungu hajasema tuieneze vipi. Lakini la kwanza kabisa ni kuwa kwanza mwaminifu kwa Mungu kuweza kueneza injili duniani kote.” GodChurchGospelMunguInjiliKanisaJukumu La KwanzaMathayo 24 14Matthew 24 14The First Role Author:Enock Maregesi