“Kwa mwanamke wa kuoa natafuta hasanati. Akiwa mbaya atakuwa mzuri. Akiwa maskini atakuwa tajiri. Akiwa gumbaru atakuwa msomi. Akiwa mshamba atakuwa mjanja. Akiwa mjinga atapata maarifa. Nitampenda zaidi kwa mazuri kuliko mabaya.” BeautifulEvilPoorKnowledgeUglyGoodFoolishWomanGood DeedsNaiveSuspiciousIlliterateMaskiniMwanamkeMaarifaMabayaLiterateMazuriMsomiHasanatiMbayaMjingaTo MarryMzuriGumbaruKuoaMjanjaMshamba Author:Enock Maregesi
“Kama umeamua kuoa au kuolewa ukiwa na umri wa kati ya miaka 18 na 40, kulingana na kanuni ya kuachana na ukapera (‘optimal stopping’) umri wa kuwa na msimamo kuhusiana na mtu utakayeoa au kuolewa naye ni baada tu ya kufikisha umri wa miaka 26. Kabla ya hapo kuna uwezekano ukakosa wachumba bora, baada ya hapo wachumba bora wanaweza kuanza kupotea, hivyo kukupunguzia uwezekano wa kumpata mke au mume aliye mwema.” Optimal StoppingKanuni Ya Kuachana Na UkaperaWife Or HusbandMke Au MumeTo MarryFiancesKuoa Au KuolewaWachumba26 Years Of AgeUmri Wa Miaka 26 Author:Enock Maregesi
“Umri sahihi wa kuoa au kuolewa kulingana na kanuni ya ndoa iitwayo ‘optimal stopping’ ni miaka 26. Kanuni hii ya hesabu hujulikana kama kanuni ya asilimia 37, welekeo wa 0.37 wa kumpata mwenza bora zaidi katika maisha yako kuliko wengine wote.” Optimal StoppingTo Marry37 PercentAsilimia 37Kanuni Ya NdoaKuoa Au KuolewaPerfect AgeThe Principle Of MarriageUmri SahihiWelekeo Wa 0 37 Author:Enock Maregesi