“Afrika imekaliwa na mizimu. Wazungu hawataweza kumaliza mali ya Afrika. Mali ya Afrika ni ya Waafrika wenyewe. Itamalizwa na sisi wenyewe.” ResourcesGhostsAfricaWhitesWeMaliAfricansAfrikaSisiWaafrikaWazunguMizimu Author:Enock Maregesi
“Waafrika wa Afrika ndiyo wenye uchungu na Afrika si Wazungu au Waamerika. Maendeleo ya Afrika yataletwa na Waafrika wa Afrika.” DevelopmentAfricaAmericansAfricansAfrikaEuropeansMaendeleoWaafrikaWazunguWaamerika Author:Enock Maregesi