“Maadui ni wazuri kuliko marafiki na mashabiki ni wazuri kuliko maadui. Maadui wanakusaidia kujua wewe ni nani na kwa nini uko hapa. Ukishajua wewe ni nani na kwa nini uko hapa, hakuna mtu atakayekuzuia kufanya chochote unachokiamini zaidi na kukifanya. Chochote unachokiamini zaidi na kukifanya ndicho Mungu alichokupangia kufanya hapa duniani, na kwa sababu hiyo utapata maadui. Ili utoke lazima uwe na mashabiki, marafiki na maadui.” GodFansFriendsEnemiesBetterMunguWho Are YouMaaduiDunianiMarafikiIn The WorldMashabikiWhy Are You HereWewe Ni NaniKwa Nini Uko HapaWazuri Author:Enock Maregesi
“Sawa. Кто Вы, где Вы от, и почему Вы в Москве?” MoscowMurphyRussianWho Are YouJohn MurphyVladimirCs MoscowWewe Ni NaniWhere Are You FromBastolaChaikaKirusiUnafanya Nini MoscowUnatoka WapiWhy Are You In Moscow Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita
“Kama kuna swali maarufu kuliko yote katika kitabu cha 'Kolonia Santita' ni "Кто Вы, где Вы от, и почему Вы в Москве?" lililoulizwa na товарищи (Komredi) Anatoly-Chaika, baada ya kumfikisha Murphy katika 'dacha' ya Kolonia Santita ya Yugo Zapadnaya. Murphy hakumwelewa Chaika. Lakini mwenzake na Chaika (Vladimir) alipouliza kwa tafsiri, "Wewe ni nani, unatoka wapi, na unafanya nini Moscow?" Murphy alimwelewa na kucheka akiwa amenuna. Bila swali hilo asingeokoka.” BookQuestionComradeMurphyKolonia SantitaWho Are YouVladimirKitabuWewe Ni NaniWhere Are You FromChaikaSwaliUnafanya Nini MoscowUnatoka WapiAnatoly ChaikaDachaKomrediWhat Do You Do In MoscowYugo ZapadnayaКто Выгде Вы отпочему Вы в Москветоварищи Author:Enock Maregesi