Quotessence
Home / Quotes / Quote by Mwanandeke Kindembo

Quote by Mwanandeke Kindembo

Author

Mwanandeke Kindembo

Browse famous quotes and profile details for Mwanandeke Kindembo. more

You May Also Like

“Kiingereza kililetwa na wakoloni wa Kiingereza kutoka Uingereza na walikitumia katika masuala yote ya kiutawala ya Afrika Mashariki. Kililetwa pia na wamisionari waliojenga shule na kuwafundisha Kiingereza wanafunzi na walimu na watu wengine wa kawaida, kwa lengo la kuwasaidia katika kazi yao ya kueneza dini kama wakalimani, hivyo kufanya Kiingereza kienee zaidi kuliko Kiswahili.”