“Kila binadamu hapa duniani ni wa thamani kubwa. Chochote utakachofanya, kizuri au kibaya, kidogo au kikubwa, kitabadilisha maisha ya watu. Ukiwa na msingi mzuri kwa mwanao ataishi vizuri atakapokuwa mkubwa, atakuwa na uwezo mkubwa wa kuacha dunia katika hali nzuri kuliko alivyoikuta. Ukiwa na msingi mbaya kwa mwanao ataishi vibaya atakapokuwa mkubwa, atakuwa na uwezo mdogo wa kuacha dunia katika hali nzuri kuliko alivyoikuta. Kuwa mkarimu kwa mazingira, kuwa mkarimu kwa wanyama, kuwa mkarimu kwa binadamu wenzako, kwa faida ya vizazi vijavyo.” PeopleWorldLifeKindPowerEnvironmentNiceHumanFoundationValueAnimalsChildBenefitDuniaMaishaWatuFuture GenerationsBinadamuUwezoFaidaMkarimuVizazi VijavyoThamaniWanyamaMazingiraKibayaKizuriMwanaoKidogoKikubwaMsingi Author:Enock Maregesi
“Kiswahili ni lugha ya Kibantu na lugha kuu ya kimataifa ya biashara ya Afrika ya Mashariki ambayo; maneno yake mengi yamepokewa kutoka katika lugha za Kiarabu, Kireno, Kiingereza, Kihindi, Kijerumani na Kifaransa, kutoka kwa wakoloni waliyoitawala pwani ya Afrika ya Mashariki katika kipindi cha karne tano zilizopita. Lugha ya Kiswahili ilitokana na lugha za Kisabaki za Afrika Mashariki; ambazo nazo zilitokana na Lugha za Kibantu za Pwani ya Kaskazini Mashariki za Tanzania na Kenya, zilizotokana na lugha zaidi ya 500 za Kibantu za Afrika ya Kusini na Kati. Lugha za Kibantu zilitokana na lugha za Kibantoidi, ambazo ni lugha zenye asili ya Kibantu za kusini mwa eneo la Wabantu, zilizotokana na jamii ya lugha za Kikongo na Kibenue – tawi kubwa kuliko yote ya familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri katika bara la Afrika. Familia ya lugha za Kikongo na Kibenue ilitokana na jamii ya lugha za Kiatlantiki na Kikongo; zilizotokana na familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri, ambayo ni familia kubwa ya lugha kuliko zote duniani kwa maana ya lugha za kikabila. Familia ya lugha ya Kiswahili imekuwepo kwa karne nyingi. Tujifunze kuzipenda na kuzitetea lugha zetu kwa faida ya vizazi vijavyo.” CultureLanguageAfricaKenyaRwandaMother TongueUgandaArabicFuture GenerationsTanzaniaArabsKolonia SantitaEnock MaregesiAfrikaEast AfricaMozambiqueSwahiliAfrican UnionBurundiKiswahiliAfrican LanguagesLughaVizazi VijavyoUtamaduniAfrika MasharikiSwahili LanguageAfrican Great LakesDemocratic Republic Of The CongoBantuAfrika Ya MasharikiAtlantic Congo LanguagesBantu PeopleBantu PeoplesBantusBenue Congo LanguagesComorian LanguageComoro IslandsEastern AfricaFamilia Ya Lugha Ya KiswahiliHistoria Ya KiswahiliJamhuri Ya Kidemokrasia Ya KongoKiarabuKibantuKiprotoKusini Mashariki Mwa AfrikaLugha Ya AsiliLugha Ya KibantuLugha Ya KisabakiLugha Ya KiswahiliLugha Ya Visiwa Vya KomoroLugha Ya Visiwa Vya NgazijaLugha Za AfrikaMsumbijiMto SabakiNchi Za Ukanda Wa Maziwa MakuuNiger Congo Language FamilyNortheast Coast BantuProto BantuSabaki LanguageSabaki RiverSoutheast AfricaSouthern Bantoid LanguagesSwahili HistorySwahili Language FamilySwahili PeopleSwahili PeoplesUmoja Wa AfrikaVisiwa Vya KomoroVisiwa Vya NgazijaWaarabuWabantuWaswahili Author:Enock Maregesi
“Lakini Kiswahili kilizaliwa Afrika Mashariki. Kwa nini hatuithamini lugha yetu? Kwa nini hatuzithamini lugha zetu za makabila? Kwa nini hatuipendi na kuitetea lugha yetu ya taifa ambayo ndiyo lugha ya biashara na mawasiliano ya Afrika Mashariki? Kwa nini hatuvitetei vizazi vijavyo kwa kuvitetea vizazi vya leo?” LanguageFuture GenerationsEast AfricaSwahiliKiswahiliLughaVizazi VijavyoAfrika Mashariki Author:Enock Maregesi
“Andika Kiswahili vizuri. Wala usiogope kuonekana mshamba. Kwa sababu unachokifanya hasa ni kwa ajili ya vizazi vijavyo.” Future GenerationsSwahiliKiswahiliVizazi VijavyoSwahili Language Author:Enock Maregesi
“A.K.A kirefu chake ni 'Also Known As'. K.K.K kirefu chake ni 'Kadhalika Kikijulikana Kama'. K.N.K kirefu chake ni 'Kadhalika Nikijulikana Kama'. K.A.K kirefu chake ni 'Kadhalika Akijulikana Kama'. Kadhalika, unaweza kusema P.K.K (Pia Kikijulikana Kama), P.N.K (Pia Nikijulikana Kama) au P.A.K (Pia Akijulikana Kama).Tujifunze kuupenda utamaduni wetu, ili vizazi vijavyo visisumbuke.” LoveCultureLearnInconvenienceFuture GenerationsVizazi VijavyoUtamaduniJifunzeA K AAlso Known AsK A KK K KK N KPendaUsumbufuK I KK T KK V KK W KKadhalika Akijulikana KamaKadhalika Ikijulikana KamaKadhalika Kikijulikana KamaKadhalika Nikijulikana KamaKadhalika Tukijulikana KamaKadhalika Vikijulikana KamaKadhalika Wakijulikana KamaP A KP I KP K KP N KP T KP V KP W KPia Akijulikana KamaPia Ikijulikana KamaPia Kikijulikana KamaPia Nikijulikana KamaPia Tukijulikana KamaPia Vikijulikana KamaPia Wakijulikana Kama Author:Enock Maregesi
“Kwa nini tuseme a.k.a na si k.k.k au k.n.k au k.a.k? Lazima tujifunze kuipenda na kuitetea lugha yetu kwa usumbufu wa vizazi vijavyo.” LoveLanguageLearnInconvenienceWhyDefendFuture GenerationsLughaVizazi VijavyoJifunzeKwa NiniA K AK A KK K KK N KPendaUsumbufuTetea Author:Enock Maregesi