“Moyo kabla ya silaha” CourageTanzaniaMoyoNyerereJulius NyerereNyerere QuotesKiswahiliBaba Wa TaifaSilahaSwahili Quotes Author:Julius Nyerere
“Komandoo Nicolas Kahima Kankiriho ('Kahima the Warrior') alizaliwa katika Wilaya ya Bushenyi, Ankole, kusini-magharibi mwa Uganda, Julai 24, 1954, mtoto wa tano kuzaliwa, katika familia ya watoto sita ya Nicodemas Kankiriho; mzee wa heshima wa Wabaima, aliyekuwa akisifika sana kwa uchungaji (wa mifugo) na msisitizo mkali wa ukiristo kwa watoto wake wote; hasa Kahima na Yebare, binti yake wa pekee, aliyekuwa wa mwisho kuzaliwa. Kahima (futi 6 inchi 3 aliyekuwa akiongea Kinyankole, Kiswahili, Kiingereza na Kihispania kwa ufasaha), baada ya kutoka Uganda – kwa mafunzo ya mwanzo ya ukomandoo ya Kiisraeli – alikwenda Urusi na Korea ya Kaskazini ambako aliongeza ujuzi hadi kiwango cha juu kabisa; kabla ya kwenda Amerika ya Kusini, kama askari wa msituni wa vyama vya kisiasa visivyo rasmi vya magorila wa Kolombia. Akiwa Kolombia, Kahima alikutana na Eduardo Chapa de Christopher (kiongozi wa zamani wa Kateli ya Diablos de Amazonas, Mashetani wa Amazoni, iliyokuwa ikivilinda vyama vya kisiasa vya magorila vya Americas) ambaye alimwajiri kama mlinzi binafsi na baadaye kama mlinzi binafsi wa Carlos Pulecio Alcántara – kiongozi wa kwanza wa Kateli ya Kolonia Santita. Alcántara alipouwawa, Kahima alihamia kwa Panthera Tigrisi – Kiongozi Mkuu wa Kolonia Santita.” FamilyChristianityIsraelRussiaIsraeliNorth KoreaSpanishEnglishColombiaSouth AmericaBodyguardFamiliaUgandaKolonia SantitaSwahiliCommandoKiswahiliPanthera Tigrisi1954KiingerezaUrusiAmericasAmerika Ya KusiniEduardo Chapa De ChristopherKolombiaKomandooAskari Wa MsituniGuerrilla SoldiersKahima KankirihoKiongozi Wa Kolonia SantitaKolonia Santita LeaderKorea Ya KaskaziniAnkoleBaimasBushenyiCarlos Pulecio AlcántaraDiablos De AmazonasJulai 24Kahima The WarriorKihispaniaKinyankoleKusini Magharibi Mwa UgandaLast BornMashetani Wa AmazoniMlinzi BinafsiMwisho KuzaliwaNicodemas KankirihoNicolas Kahima KankirihoRunyankoleSouthwest UgandaUkiristoWabaimaYebare Author:Enock Maregesi
“Wajerumani, hata hivyo, wakati wa utawala wao waliruhusu Kiswahili kiwe lugha halisi ya taifa nchini Tanzania kwa vile hawakukiongea Kiingereza wala hawakukipenda. Ndiyo maana Kiswahili kinazungumzwa zaidi nchini Tanzania kuliko Kenya au Uganda.” LanguageKenyaUgandaTanzaniaGermansSwahiliKiswahiliLughaWajerumani Author:Enock Maregesi
“Kiswahili ni lugha rasmi ya nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Ni lugha isiyo rasmi ya nchi za Rwanda, Burundi, Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Lugha ya Kiswahili ni mali ya nchi za Afrika ya Mashariki, si mali ya nchi za Afrika Mashariki peke yake. Pia, Kiswahili ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika; pamoja na Kiarabu, Kiingereza, Kifaransa, Kireno na Kihispania. Kiswahili ni lugha inayozungumzwa zaidi nchini Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile, duniani.” CultureLanguageAfricaKenyaRwandaMother TongueUgandaArabicTanzaniaArabsKolonia SantitaEnock MaregesiAfrikaEast AfricaMozambiqueSwahiliAfrican UnionBurundiKiswahiliAfrican LanguagesLughaUtamaduniAfrika MasharikiSwahili LanguageAfrican Great LakesDemocratic Republic Of The CongoBantuAfrika Ya MasharikiAtlantic Congo LanguagesBantu PeopleBantu PeoplesBantusBenue Congo LanguagesComorian LanguageComoro IslandsEastern AfricaFamilia Ya Lugha Ya KiswahiliHistoria Ya KiswahiliJamhuri Ya Kidemokrasia Ya KongoKiarabuKibantuKiprotoKusini Mashariki Mwa AfrikaLugha Ya AsiliLugha Ya KibantuLugha Ya KisabakiLugha Ya KiswahiliLugha Ya Visiwa Vya KomoroLugha Ya Visiwa Vya NgazijaLugha Za AfrikaMsumbijiMto SabakiNchi Za Ukanda Wa Maziwa MakuuNiger Congo Language FamilyNortheast Coast BantuProto BantuSabaki LanguageSabaki RiverSoutheast AfricaSouthern Bantoid LanguagesSwahili HistorySwahili Language FamilySwahili PeopleSwahili PeoplesUmoja Wa AfrikaVisiwa Vya KomoroVisiwa Vya NgazijaWaarabuWabantuWaswahili Author:Enock Maregesi
“Kiswahili ni lugha ya Kibantu na lugha kuu ya kimataifa ya biashara ya Afrika ya Mashariki ambayo; maneno yake mengi yamepokewa kutoka katika lugha za Kiarabu, Kireno, Kiingereza, Kihindi, Kijerumani na Kifaransa, kutoka kwa wakoloni waliyoitawala pwani ya Afrika ya Mashariki katika kipindi cha karne tano zilizopita. Lugha ya Kiswahili ilitokana na lugha za Kisabaki za Afrika Mashariki; ambazo nazo zilitokana na Lugha za Kibantu za Pwani ya Kaskazini Mashariki za Tanzania na Kenya, zilizotokana na lugha zaidi ya 500 za Kibantu za Afrika ya Kusini na Kati. Lugha za Kibantu zilitokana na lugha za Kibantoidi, ambazo ni lugha zenye asili ya Kibantu za kusini mwa eneo la Wabantu, zilizotokana na jamii ya lugha za Kikongo na Kibenue – tawi kubwa kuliko yote ya familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri katika bara la Afrika. Familia ya lugha za Kikongo na Kibenue ilitokana na jamii ya lugha za Kiatlantiki na Kikongo; zilizotokana na familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri, ambayo ni familia kubwa ya lugha kuliko zote duniani kwa maana ya lugha za kikabila. Familia ya lugha ya Kiswahili imekuwepo kwa karne nyingi. Tujifunze kuzipenda na kuzitetea lugha zetu kwa faida ya vizazi vijavyo.” CultureLanguageAfricaKenyaRwandaMother TongueUgandaArabicFuture GenerationsTanzaniaArabsKolonia SantitaEnock MaregesiAfrikaEast AfricaMozambiqueSwahiliAfrican UnionBurundiKiswahiliAfrican LanguagesLughaVizazi VijavyoUtamaduniAfrika MasharikiSwahili LanguageAfrican Great LakesDemocratic Republic Of The CongoBantuAfrika Ya MasharikiAtlantic Congo LanguagesBantu PeopleBantu PeoplesBantusBenue Congo LanguagesComorian LanguageComoro IslandsEastern AfricaFamilia Ya Lugha Ya KiswahiliHistoria Ya KiswahiliJamhuri Ya Kidemokrasia Ya KongoKiarabuKibantuKiprotoKusini Mashariki Mwa AfrikaLugha Ya AsiliLugha Ya KibantuLugha Ya KisabakiLugha Ya KiswahiliLugha Ya Visiwa Vya KomoroLugha Ya Visiwa Vya NgazijaLugha Za AfrikaMsumbijiMto SabakiNchi Za Ukanda Wa Maziwa MakuuNiger Congo Language FamilyNortheast Coast BantuProto BantuSabaki LanguageSabaki RiverSoutheast AfricaSouthern Bantoid LanguagesSwahili HistorySwahili Language FamilySwahili PeopleSwahili PeoplesUmoja Wa AfrikaVisiwa Vya KomoroVisiwa Vya NgazijaWaarabuWabantuWaswahili Author:Enock Maregesi
“Lakini Kiswahili kilizaliwa Afrika Mashariki. Kwa nini hatuithamini lugha yetu? Kwa nini hatuzithamini lugha zetu za makabila? Kwa nini hatuipendi na kuitetea lugha yetu ya taifa ambayo ndiyo lugha ya biashara na mawasiliano ya Afrika Mashariki? Kwa nini hatuvitetei vizazi vijavyo kwa kuvitetea vizazi vya leo?” LanguageFuture GenerationsEast AfricaSwahiliKiswahiliLughaVizazi VijavyoAfrika Mashariki Author:Enock Maregesi
“Andika Kiswahili vizuri. Wala usiogope kuonekana mshamba. Kwa sababu unachokifanya hasa ni kwa ajili ya vizazi vijavyo.” Future GenerationsSwahiliKiswahiliVizazi VijavyoSwahili Language Author:Enock Maregesi
“Kiingereza kililetwa na wakoloni wa Kiingereza kutoka Uingereza na walikitumia katika masuala yote ya kiutawala ya Afrika Mashariki. Kililetwa pia na wamisionari waliojenga shule na kuwafundisha Kiingereza wanafunzi na walimu na watu wengine wa kawaida, kwa lengo la kuwasaidia katika kazi yao ya kueneza dini kama wakalimani, hivyo kufanya Kiingereza kienee zaidi kuliko Kiswahili.” EnglandEnglishEast AfricaSwahiliKiswahiliAfrika MasharikiUingerezaKiingerezaEnglish ColonistsWakoloni Wa Kiingereza Author:Enock Maregesi
“Hata wamisionari, hasa wamisionari wa Kiprotestanti, hawakukitumia Kiingereza katika kueneza dini kwa sababu hadhira yao isingewaelewa. Badala yake walitumia lugha za makabila ya Kiswahili, hivyo kujikuta wakieneza zaidi utamaduni wa Kiswahili kuliko wa Kiingereza au Kijerumani.” LanguageEnglishMissionariesSwahiliKiswahiliLughaKiingerezaWamisionari Author:Enock Maregesi