“Moyo kabla ya silaha” CourageTanzaniaMoyoNyerereJulius NyerereNyerere QuotesKiswahiliBaba Wa TaifaSilahaSwahili Quotes Author:Julius Nyerere
“Silaha kuu ya uchoyo ni kujitolea kwa ajili ya watu wengine. Ni upendo.” PeopleLoveSacrificeGreedyOthersWeaponWatuOther PeopleUpendoWengineKujitoleaSilahaWatu WengineUchoyo Author:Enock Maregesi
“Ndani ya kibweta cha risasi kuna vitu vitano vyenye uwezo wa kulipuka kama vile risasi, kasha, baruti, kitako na fataki. Risasi hutumika kama kombora – kitu kinachoweza kusafiri hewani na kulipuka baada au kabla ya kugonga shabaha – wakati kasha kazi yake ni kuhifadhi vitu vyote vya kibweta kwa pamoja kusudi visisambae. Baruti inayotoa au isiyotoa moshi ni poda yenye uwezo wa kulipuka ambayo ndani yake kuna mkaa, salfa na shura; ambayo husukuma kombora mbele kwa nguvu kubwa baada ya fataki kulipuka kupitia katika kitako cha kibweta. Kitako cha kibweta hutumika kama kiziduo cha risasi kutoka katika chemba ya silaha, wakati fataki kazi yake ni kuwashia baruti.” TargetWeaponPowderGunpowderCharcoalCaseBulletSulfurMagazineProjectileRisasiRimShabahaSilahaPrimerBarutiFatakiShuraCartridgeChembaExtractorKashaKibwetaKitakoKiziduoKomboraMkaaPodaPotassium NitrateSalfaSaltpeter Author:Enock Maregesi
“Shetani hataacha kukuandama. Atakuandama mpaka siku utakapookoka. Yaani, siku utakapookolewa na Yesu Kristo, siku ambapo Shetani hatakuwepo tena. Silaha kuu tunayotakiwa kuwa nayo ni imani. Mungu hababaishwi na matatizo yako. Anababaishwa na imani yako.” GodFaithJesus ChristSatanProblemsDayWeaponMunguShetaniYesu KristoMatatizoImaniSilahaSiku Author:Enock Maregesi