“Nukuu ya mwandishi wa vitabu wa Brazili, Paulo Coelho, "Tunapopenda tunajitahidi siku zote kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo. Tunapojitahidi kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo, kila kitu katika maisha yetu kinakuwa kizuri hali kadhalika.", inadhihirisha kikamilifu tabia ambayo bibi yangu (Martha Maregesi) alijitahidi kuwa nayo katika kipindi cha maisha yake yote. Alikuwa mtu mwenye furaha sana. Alikuwa na tabasamu lenye kuambukiza ambalo marafiki na familia yake hawakuweza kujizuia kutabasamu pia alipofurahi nao. Pamoja na kwamba alikumbana na matatizo mengi na bahati mbaya nyingi katika maisha yake, alijulikana kama mtu mwenye upendo na uvumilivu mkubwa.” LoveLifeHappinessAttitudeFamilyFriendsQuotePerseveranceSmileAuthorGrandmotherGrandmaBrazilFamiliaHardshipsMaishaSetbacksPaulo CoelhoMatatizoUpendoFurahaTabiaMarafikiBibiUvumilivuTabasamuBahati MbayaMartha MaregesiNukuuBraziliContagious SmileMwandishi Wa VitabuTabasamu Lenye Kuambukiza Author:Enock Maregesi
“Ukiua mtu bila kumwambia kwa nini unamuua anaweza kujua umemuua kwa kumwonea. Akijua umemuua kwa kumwonea roho yake inaweza kukusumbua wewe na familia yako maisha yenu yote. Makachero wa EAC wana leseni ya kuua. Lakini si kuua ovyo kama James Bond. Kila wanayemuua lazima waandike ripoti kwa nini wamemuua. Kachero wa EAC akiua mtu, kwa makosa, kwa bahati mbaya, atalindwa na Mwenyezi Mungu. Atalindwa na Tambiko la Tume ya Dunia.” LifeSpiritMistakeFamilyYouPersonBad LuckFamiliaMaishaMtuReportMwenyezi MunguJames BondGod AlmightyRohoWeweMakosaSpecial AgentLicenceEacBahati MbayaKacheroSpecial AgentsLeseniMakacheroRipotiTambiko La Tume Ya DuniaWodec S Ritual Author:Enock Maregesi
“Kujua kama alikosea kwa bahati mbaya au makusudi, vaa viatu vya yule unayemchukia.” DeliberatelyAccidentallyBahati MbayaMakusudi Author:Enock Maregesi