“Roho ya Badman Killa ni jambo moja lenye nguvu ambalo unajikuta ukitaja. Ikiwa huu sio ushuhuda kwamba DON SANTO ni kutoka kwa mungu, basi sijui ni nini. Dah!” God QuotesBadman Killa QuotesTeam SantoTanzaniaSwahiliDon Santo QuotesKlassikans QuotesBongo Flava Author:Barnaba Classic
“Kama Shetani anatumia elimu kutawala dunia kama vile Mungu anavyotumia elimu kutawala dunia, nani alisema kuwa baadhi ya wasanii wa ‘Bongo Movie’ na ‘Bongo Flava’ ni wanachama wa chama cha siri cha kusaidiana cha wajenzi huru? Je, wana elimu? Jibu unalo.” GodEducationSatanMunguShetaniFreemasonsElimuBongo FlavaWajenzi HuruBongo Movie Author:Enock Maregesi