“Ukitaka kutambulika usione aibu.” SuccessRespectShameContemptScornMafanikioHeshimaDharauAibuBe RecognizedTambulika Author:Enock Maregesi
“Hufanani na yoyote katika dunia hii. Unafanana na wewe mwenyewe. Usimdharau mtu, humjui!” WorldAnimalManYouScornDuniaMtuAnyWeweDharauMnyamaWewe MwenyeweYou AloneYoyote Author:Enock Maregesi
“Sijafika. Ndio maana simdharau MTU wala hassle yake. Na nitakapofika, bado nitakumbuka Mwenyezi Mungu ndiye mwenye kupeana riziki.” Success QuotesGod QuotesMunguHassleMtuHustle QuotesDharauFikaRizikiSijafika Author:Don Santo
“Wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wanaweza kutawaliwa. Ishirini na mbili hadi ishirini na nne wanaweza kukuumiza. Ishirini na nne hadi ishirini na saba unaweza kuweka malengo nao yenye natija. Ishirini na saba hadi thelathini watakuchunguza sana na hawatakupenda kutoka moyoni. Thelathini hadi thelathini na tano wamejawa na dharau za kijinga. Thelathini na tano hadi arobaini na mbili watakung’ang’ania kupoza hasira za huko walikotoka. Tofauti na wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili, na wanawake wenye umri wa miaka ishirini na nne hadi ishirini na saba, wengine wote ni kubahatisha.” HeartWomenAngerGoalsContemptBenefitHasiraDharauWanawakeMalengoMoyoni Author:Enock Maregesi
“Nuhu anasemekana kuwa mtu aliyedharaulika sana huko Babeli. Maisha yake yalijaa utata. Lakini ukweli ni kwamba, bila Nuhu mimi na wewe tusingekuwapo. Unayemdharau sana mwogope sana.” LifeContemptMaishaBabylonNoahDharauBabeliNuhu Author:Enock Maregesi
“Sipendi dharau: mimi kumdharau mtu au mtu kunidharau mimi. Sitakudharau kwa sababu sikujui. Hupaswi kunidharau kwa sababu hunijui.” ManScornIMtuMimiDharauHunijuiI Don T YouSikujuiYou Don T Know Me Author:Enock Maregesi