“Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu.” FameRespectShameForwardHeshimaAibuMbeleBe RecognizedTambulikaUmaarufu Author:Enock Maregesi
“Hasanati ni matendo mema. Mema yanatoka kwa Mungu. Mabaya yanatoka kwa Shetani. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Mke mbaya anatoka kwa Shetani. Mke mwema ana hekima na busara, ana maadili na tabia njema, ana utu na uchapakazi, ana wema na upendo, na ana aibu kwa wanaume.” MenLoveGodWisdomHumanityEvilGoodnessEthicsShameGoodSatanGood DeedsPrudenceMunguGood WifeShetaniGood BehaviorHekimaUpendoMabayaMemaIndustriousnessUtuWemaAibuMaadiliUchapakaziBusaraHasanatiWanaumeMatendo MemaTabia NjemaBad WifeMke MbayaMke Mwema Author:Enock Maregesi
“Ukitaka kutambulika usione aibu.” SuccessRespectShameContemptScornMafanikioHeshimaDharauAibuBe RecognizedTambulika Author:Enock Maregesi
“Ukiajiri ndugu usimwonee aibu! Namna hiyo ajira yake haitaathiri nguvu ya mamlaka yako.” PowerShameEmploymentRelativeMamlakaAibuNduguAjira Author:Enock Maregesi