“Shahidi mwaminifu na wa kweli anayajua mambo yetu yote tangu kuumbwa hadi mwisho wa dunia yetu. Kwa hiyo, ni kweli unabii lazima utimie. Mungu anataka tuwe na amani ndani ya mioyo yetu lakini anajua si jambo rahisi kwa sababu ya hila za Shetani. Shetani asingekuwepo amani ingekuwepo; watakatifu wasingekuwepo, dunia isingekuwepo. Lakini mlango wa rehema bado haujafungwa. Bado tuna uhuru wa kuchagua mema dhidi ya mabaya.” WorldGodEvilPeaceFreedomDevilGoodWitnessFaithfulSatanTrueMunguSaintsDuniaShetaniAmaniMabayaMemaUhuruKweliWatakatifuMwaminifuSi Jambo RahisiDevil S SchemesEnd Of Our WorldHila Za ShetaniIn Our HeartsIt Is Not EasyMlango Wa RehemaMwisho Wa Dunia YetuNdani Ya Mioyo YetuProphecy Must Be FulfilledShahidiShahidi Mwaminifu Na Wa KweliSince CreationTangu KuumbwaThe Door Of MercyThe Faithful And True WitnessUnabii Lazima Utimie Author:Enock Maregesi
“Ukiwa na mafanikio ya Shetani hayo si mafanikio ya kweli. Ukiwa na mafanikio ya Mungu hayo ndiyo mafanikio ya kweli. Mafanikio ya kweli hayatokani na NINI unacho. Mafanikio ya kweli yanatokana na NANI unaye. Yesu Kristo alikuwa maskini, hakuwa na kitu; lakini alikuwa tajiri, alikuwa na Mungu ndani ya moyo wake.” HeartGodTruthSuccessPoorRichJesus ChristSatanMunguWhatShetaniWhoYesu KristoMaskiniMafanikioTajiriMoyoKweliNaniNini Author:Enock Maregesi
“I AM AGINE WACHACHE MKATESA WENGI NA MUNGU AKAJA KUWAHUKUMU NAKUWALAANI. NYINGI WACHACHE MKAWATUMIKIA WENGI MIAKA 1000 MIPYA HAPAHAPA DUNIANI. BINADAM HAWEZI KUSHINDANA NA MUNGU KWA KUTENDA MAOVU LI KUMFURAHISHA TU MWANADAM MWENZAKE.” LoveUpendoKweli Author:Kennedy Mmbando