“Ukiwa makini, nadhani, utapata maana ya ujumbe unaopewa na Roho Mtakatifu kwa wale wanaomwamini Mungu au ‘daemon’ (tofauti na ‘demon’) kwa wale wasiomwamini Mungu. Mimi, kwa mfano, huwa najali muda. Jicho langu likicheza au kiungo changu chochote cha mwili kikiuma ghafla na kuacha, au hata kisipoacha, jambo lolote ninalolifikiria muda huo ambapo jicho linacheza au kiungo changu cha mwili kinauma najua ni ujumbe kutoka kwa Mungu na una uhusiano na jambo hilo ninaloliwaza. Hivyo, kuanzia sekunde hiyo napaswa kuwa makini sana na jambo lolote ninalolifikiria.” GodBodyCarefulMeaningHoly SpiritDemonConnectionMunguMessageShetaniSecondDaemonMwiliRoho MtakatifuMaanaSekundeI ThinkMakiniUhusianoUjumbeJicho LanguKiungo ChanguMy EyeMy OrganBeing CarefulI Care About TimeNadhaniNajali MudaThose Who Believe In GodThose Who Do Not Believe In GodUkiwa MakiniWale Wanaomwamini MunguWale Wasiomwamini Mungu Author:Enock Maregesi
“Akili yangu itakaponipeleka kwa mgonjwa hospitalini halafu sekunde hiyohiyo jicho langu likacheza au kiungo changu chochote cha mwili kikauma na kuacha ghafla ‘bila’ sababu yoyote, najua kile ninachokifikiria kuhusu mgonjwa huyo ama kitatokea au hakitatokea. Nikifikiria amepona, halafu ghafla kichwa kikaniuma na kuacha, kitakuwa kinyume chake. Yaani, hatapona. Nikifikiria amekufa, halafu ghafla kichwa au kiungo kingine chochote kikaniuma na kuacha, kitakuwa kinyume chake pia. Yaani, hatakufa. Hivyo, nikifikiria amepona, nikifikiria amekufa, na kichwa kikaniuma na kuacha, sekunde hiyohiyo natakiwa kumwombea mgonjwa huyo. Kama ni kupona, apone kama Mungu alivyokusudia; na kama ni kufa, afe kama Mungu alivyokusudia. Si kama Shetani alivyokusudia.” BodyPatientDeadHealedHeadacheSecondMwiliMy MindSekundeJicho LanguKiungo ChanguMy EyeMy OrganWill HappenAfe Kama Mungu AlivyokusudiaAkili YanguAmekufaAmeponaApone Kama Mungu AlivyokusudiaAs Satan PurposedBila Sababu YoyoteDead As God PurposedHakitatokeaHatakufaHataponaHealed As God PurposedHospitaliniIn The HospitalKama Shetani AlivyokusudiaKichwa KikaniumaKitakuwa Kinyume ChakeKitatokeaKumwombea MgonjwaMgonjwaPray For The SickWill Be Its ContraryWill Not DieWill Not EscapeWill Not HappenWithout Any Reason Author:Enock Maregesi