“Lakini kabla Rais hajaendelea kuongea, na ‘John Murphy wa Kolonia Santita’, Mogens aliruka na kumnyang’anya simu. “Ambilikile,” Mogens aliita, akiangalia saa. “Brodersen,” Sauti ya upande wa pili ilijibu, baada ya sekunde kumi. “60111906,” Mogens alisema, baada ya sekunde kumi. “57121906,” Sauti ya upande wa pili ikajibu, baada ya sekunde kumi. “Jumapili,” Mogens aliendelea, baada ya sekunde kumi. “Ijumaa,” Sauti ya upande wa pili ikajibu, baada ya sekunde kumi. John Murphy wa Kolonia Santita aliposema ‘Ijumaa’, Mogens aliunda kicheko na kurusha mkono katika matundu ya kuongelea ya simu ...” PresidentVoiceLaughterHolesSundayFridayMurphyHandWatchKolonia SantitaJohn MurphyTelephoneJohn Murphy AmbilikileSautiSimuIjumaaJumapiliRais Wa Tume Ya DuniaFrederik MogensSaaMogensRaisAmbilikileMkono5712190660111906BrodersenKichekoMatunduPresident Of WodeaSekunde KumiTen Seconds Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita
“Rais ni mwanzo wa sheria na ni alama ya utulivu wa nchi.” PresidentMarkAlamaRaisBeginning Of The LawMwanzo Wa SheriaStability Of The CountryUtulivu Wa Nchi Author:Enock Maregesi
“Rais ana mamlaka ya kusamehe jinai yoyote.” PresidentPowerCrimeAuthorityForgiveMamlakaRaisKusameheJinai Author:Enock Maregesi