“Rais wa Tume ya Dunia hakuchaguliwa kupata sifa ya madaraka na hivyo kunyanyasa na kudharau watu kwa sababu ya madaraka yake, bali alichaguliwa kuleta mabadiliko katika dunia kama Rais wa Tume ya Dunia kutetea afya na amani ya dunia nzima kwa unyenyekevu na heshima kwa binadamu wenzake.” HumansPowerRespectHumblenessBinadamuHeshimaRais Wa Tume Ya DuniaMadarakaUnyenyekevuAttributes Of PowerSifa Ya MadarakaChanges In The WorldDefending Health And World PeaceExploit And Despise PeopleKunyanyasa Na Kudharau WatuKutetea Afya Na Amani Ya DuniaMabadiliko Katika Dunia Author:Enock Maregesi
“Lakini kabla Rais hajaendelea kuongea, na ‘John Murphy wa Kolonia Santita’, Mogens aliruka na kumnyang’anya simu. “Ambilikile,” Mogens aliita, akiangalia saa. “Brodersen,” Sauti ya upande wa pili ilijibu, baada ya sekunde kumi. “60111906,” Mogens alisema, baada ya sekunde kumi. “57121906,” Sauti ya upande wa pili ikajibu, baada ya sekunde kumi. “Jumapili,” Mogens aliendelea, baada ya sekunde kumi. “Ijumaa,” Sauti ya upande wa pili ikajibu, baada ya sekunde kumi. John Murphy wa Kolonia Santita aliposema ‘Ijumaa’, Mogens aliunda kicheko na kurusha mkono katika matundu ya kuongelea ya simu ...” PresidentVoiceLaughterHolesSundayFridayMurphyHandWatchKolonia SantitaJohn MurphyTelephoneJohn Murphy AmbilikileSautiSimuIjumaaJumapiliRais Wa Tume Ya DuniaFrederik MogensSaaMogensRaisAmbilikileMkono5712190660111906BrodersenKichekoMatunduPresident Of WodeaSekunde KumiTen Seconds Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita
“Kama George Bush angekuwa na amani ndani ya moyo wake na Saddam Hussein angekuwa na amani ndani ya moyo wake Vita ya Ghuba isingetokea. Vilevile, katika kitabu cha ‘Kolonia Santita’, kama Rais wa Tume ya Dunia angekuwa na amani ndani ya moyo wake na kiongozi wa Kolonia Santita angekuwa na amani ndani ya moyo wake Kolonia Santita isingepigana na Umoja wa Mataifa. Taifa lisingepigana na taifa, na mataifa yasingepigana na magaidi.” HeartBookNationsPeaceUnited NationsNationGulf WarTerroristsAmaniKolonia SantitaMoyoSaddam HusseinTaifaMagaidiKitabuRais Wa Tume Ya DuniaGeorge BushMataifaColonia SantitaKiongozi Wa Kolonia SantitaKolonia Santita LeaderUmoja Wa MataifaVita Ya GhubaWorld Commission President Author:Enock Maregesi
“Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Israeli Daniel Yehuda Ben-Asher Ebenezer, Mhebrania aliyeishi Givat Ram, Jerusalem, na mke wake mrembo Hadara na mtoto wake mzuri Navah Ebenezer, alikuwa Ukanda wa Gaza siku alipopigiwa simu na Kiongozi wa Kanda ya Asia-Australia ya Tume ya Dunia U Nanda – kutoka Copenhagen kuhusiana na wito wa haraka wa kuonana na Rais wa Tume ya Dunia. Yehuda aliondoka usiku kwenda Yangon, Myama, ambapo alionana na U Nanda na kupewa maelekezo yote ya kikazi aliyotakiwa kuyafuata. Mbali na maelekezo yote ya kikazi aliyotakiwa kuyafuata, Nanda alimkabidhi Yehuda kachero wa Kolonia Santita Mandi Dickson Santana (bila kujua kama Mandi ni kachero wa Kolonia Santita) ili amsindikize mpaka stendi ya mabasi ya Maubin, nje ya Yangon. Baada ya hapo Yehuda alisafiri mpaka Copenhagen ambapo yeye na wenzake walikabidhiwa Operation Devil Cross, ya kung’oa mizizi ya Kolonia Santita duniani kote. Yehuda alifanya kosa kubwa kuonana na kachero wa Kolonia Santita Mandi Santana! Kwa sababu hiyo, sauti na picha ya Yehuda vilichukuliwa, watu wengi walikufa katika miji ya Copenhagen na Mexico City.” PeopleVoiceMistakeRootsIsraelSpyIsraeliJerusalemHebrewBurmaWatuMexico CityPhotoBriefingCopenhagenGaza StripTelephoneTume Ya DuniaMyanmarSautiSimuRais Wa Tume Ya DuniaDaniel YehudaKosaBamaMpeleleziNandaRangoonSummonUkanda Wa GazaYangonMaubinOperation Devil CrossPichaU NandaWitoDaniel Yehuda Ben Asher EbenezerGivat RamHadaraHadara EbenezerKachero Wa Kolonia SantitaMaelekezoMandi Dickson SantanaMandi SantanaMhebraniaMiziziMyamaNavahNavah EbenezerOperation DcStendi Ya Mabasi Ya Maubin Author:Enock Maregesi
“Kesho yake Ijumaa Rais wa Meksiko alirudi kutoka Panama na aliomba kuonana na Vijana wa Tume; alitaka kuwapongeza binafsi, na kuwapa nishani za heshima kwa mchango wao mkubwa kwa Jamii ya Meksiko. Randall Ortega alilipeleka ombi hilo kwa Rais wa Tume ya Dunia; Rais wa Tume ya Dunia akakaa na Kamati ya Usalama ya Tume ya Dunia na kumrudishia Randall Ortega jawabu, kwamba Vijana wa Tume waliruhusiwa kuonana na Rais wa Meksiko na baadhi ya maafisa wa juu wa serikali ya shirikisho. Saa mbili usiku wa siku hiyo, Ijumaa, kulifanyika sherehe ndogo ya siri nyumbani kwao Debbie; sherehe iliyohudhuriwa na Rais wa Meksiko na mke wake, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Meksiko, Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya Nchini Marekani, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu Nchini Meksiko, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, maafisa wa tume na watu wengine wa muhimu katika kazi ya Vijana wa Tume.” MexicoFederal GovernmentPanamaJohn MurphyJohn Murphy AmbilikileWengineTume Ya DuniaDebbie Patrocinio AbregoVijana Wa TumeMeksikoDeaIjumaaRais Wa Tume Ya Dunia33MarekaniUsikuWodeaMexican PresidentRais Wa MeksikoJohn AmbilikilePgrPjfWodecCndhJamii Ya MeksikoLos PinosNishaniSerikali Ya ShirikishoSherehe Ndogo Ya Siri Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita
“Muda haututoshi. Tunajua mizigo hiyo ni ya nani. Tunajua nani aliua maafisa wetu wa polisi na maafisa wa polisi wa Meksiko na Marekani na wapita njia na kwa nini alifanya hivyo. Hatujui kwa hakika imefichwa wapi. Kuwakamata wahusika ni kazi nzito, ndugu wajumbe. Inahitaji ujasiri wa kupindukia … na kujitoa mhanga. Kuzuia mizigo ya CS-14, na kumkamata kiongozi wake, lazima tupigane kufa na kupona. Kwa siku kumi shehena zikamatwe na kuharibiwa, na viongozi wa Santita (wote) wakamatwe na kuwekwa chini ya sheria.” Rais Wa Tume Ya DuniaBoidin Versnick Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita