“Rais wa Tume ya Dunia hakuchaguliwa kupata sifa ya madaraka na hivyo kunyanyasa na kudharau watu kwa sababu ya madaraka yake, bali alichaguliwa kuleta mabadiliko katika dunia kama Rais wa Tume ya Dunia kutetea afya na amani ya dunia nzima kwa unyenyekevu na heshima kwa binadamu wenzake.” HumansPowerRespectHumblenessBinadamuHeshimaRais Wa Tume Ya DuniaMadarakaUnyenyekevuAttributes Of PowerSifa Ya MadarakaChanges In The WorldDefending Health And World PeaceExploit And Despise PeopleKunyanyasa Na Kudharau WatuKutetea Afya Na Amani Ya DuniaMabadiliko Katika Dunia Author:Enock Maregesi
“Kiongozi wa wananchi au wa serikali hapaswi kuchaguliwa au kuteuliwa kwa ajili ya kupata sifa ya madaraka na hivyo kunyanyasa na kudharau watu kwa sababu ya madaraka yake, anapaswa kuchaguliwa au kuteuliwa kwa ajili ya kuleta mabadiliko katika nchi kama kiongozi wa dhima aliyokabidhiwa kwa unyenyekevu na heshima kwa wananchi wenzake.” PeoplePowerRespectHumblenessWatuHeshimaExploit PeopleMadarakaUnyenyekevuAttributes Of PowerDespise PeopleFellow CitizensSifa Ya MadarakaChanges In The CountryKiongozi Wa SerikaliKiongozi Wa WananchiKudharau WatuKunyanyasa WatuLeader Of The GovernmentLeader Of The PeopleMabadiliko Katika NchiWananchi Wenzake Author:Enock Maregesi