“Rais wa Tume ya Dunia hakuchaguliwa kupata sifa ya madaraka na hivyo kunyanyasa na kudharau watu kwa sababu ya madaraka yake, bali alichaguliwa kuleta mabadiliko katika dunia kama Rais wa Tume ya Dunia kutetea afya na amani ya dunia nzima kwa unyenyekevu na heshima kwa binadamu wenzake.” HumansPowerRespectHumblenessBinadamuHeshimaRais Wa Tume Ya DuniaMadarakaUnyenyekevuAttributes Of PowerSifa Ya MadarakaChanges In The WorldDefending Health And World PeaceExploit And Despise PeopleKunyanyasa Na Kudharau WatuKutetea Afya Na Amani Ya DuniaMabadiliko Katika Dunia Author:Enock Maregesi
“Kiongozi wa wananchi au wa serikali hapaswi kuchaguliwa au kuteuliwa kwa ajili ya kupata sifa ya madaraka na hivyo kunyanyasa na kudharau watu kwa sababu ya madaraka yake, anapaswa kuchaguliwa au kuteuliwa kwa ajili ya kuleta mabadiliko katika nchi kama kiongozi wa dhima aliyokabidhiwa kwa unyenyekevu na heshima kwa wananchi wenzake.” PeoplePowerRespectHumblenessWatuHeshimaExploit PeopleMadarakaUnyenyekevuAttributes Of PowerDespise PeopleFellow CitizensSifa Ya MadarakaChanges In The CountryKiongozi Wa SerikaliKiongozi Wa WananchiKudharau WatuKunyanyasa WatuLeader Of The GovernmentLeader Of The PeopleMabadiliko Katika NchiWananchi Wenzake Author:Enock Maregesi
“Wakati mwingine inaweza kuonekana kuwa kadiri unavyozidi kujitolea kwa ajili ya watu wengine ndivyo unavyozidi kuwa maskini, lakini hii si kweli. Huduma kwa ajili ya watu wengine huleta maana fulani na ukamilifu katika maisha yetu kwa namna ambayo utajiri, madaraka na mali haviwezi kushindana nao. Mungu hababaishwi na kiasi gani unatoa. Anababaishwa na imani uliyonayo wakati unatoa. Ukitoa kidogo inatosha. Ukitoa kingi inatosha pia.” PeopleLifeGodFaithWealthPoorPowerSacrificeMeaningFulfillmentServiceOthersMunguPossessionsMaishaWatuOther PeopleMaliMaskiniImaniUtajiriWengineMaanaKujitoleaHudumaMadarakaWatu WengineUkamilifu Author:Enock Maregesi
“Shetani alikuwa malaika aliyeumbwa na Mungu lakini baadaye akamwonea Mungu wivu, wivu wa madaraka, hivyo Mungu akamtupa duniani kwa sababu ya kupingana na utawala wake mtakatifu. Duniani Shetani akamtumia nyoka kama mdakale kumdanganya Hawa. Hawa na Adamu wakamsikiliza Shetani badala ya kumsikiliza Mungu, nao wakalaaniwa. Shetani akajidai kuwa alikuwa na uwezo wa kufanya uzao wote wa Adamu na Hawa uwe mbali na Mungu, hivyo Mungu akampa muda wa kujaribu na kuthibitisha madai yake, lakini Shetani mpaka leo bado hajafanikiwa. Wakiitawala dunia leo kwa udanganyifu wa hali ya juu, pamoja naye, ni baadhi ya malaika ambao Shetani alifanikiwa kuwalaghai huko mbinguni. Mungu akawalaani pia na kuwatupa huku duniani, ambako Shetani alipapenda zaidi.” WorldGodTimeHeavenPowerClaimsEnvySatanDeceitAdamAngelsOffspringSerpentMunguRuleDuniaShetaniEveMouthpieceMudaMbinguniMalaikaAdamuHawaMadarakaUtawalaNyokaWivuUdanganyifuUzaoMadaiMdakaleRightful RulershipUtawala Mtakatifu Author:Enock Maregesi